DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

Kama maelezo haya ya Simalenga ni ya kweli inamaana msichana hakupigwa na wala hana jeraha. Sasa ile pamba usoni kwa yule msichana ni ya kazi gani?

Kwann huyu msichana pia asifunguliwe kesi ya uzushi na kumchafua DC?
Waziri nae kajichanganya eti kutuma wataalmu wakachunguze ,wakachunguze ujinga gani uzushi hv inataka akil gani.

Nyinyi mnatolewa kwenye reli y mabehewaa na magazeti nao wakajaaa mazima
 
Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa.

Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga?...
mtu kutokuwa mwanafunzi anapoteza haki zake?

mtu kutumika kwenye 6 kwa 6 ndiyo anakosa haki zake?

DC anapata mshahara Tsh 3 kununualinua gazeti/kuhonga ili likuandike vizuri ni shilingi ngapi?

Mnateuana tu bila kuzingatia VETING kisha mkiyakoroga mnakuja kujitetea huku?

Hatuwashangai maana hata SABAYA MNASEMA HANA MAKOSA
 
Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa.

Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga?
Samalenga yuko potential kiasi gani hadi asakamwe kiasi hicho?
 
Naomba kuuliza swali zamani kabla ya kuja shule za kata watu walikuwa wanafaulu wawili, watatu hadi watano shule nzima kwenda sekondary.

Je wale waliokuwa wanafeli ni kweli walikuwa wanafeli au walikuwa wanafelishwa makusudi kwa sababu shule hakuna?

Je hawa wanaofaulu kwa wingi sasa hivi wanapelekwa tu kwa sababu shule nyingi? Au ufaulu umeongezeka?

🙄
 
Sishangai kwa wateule kufanya hivyo. Kwanza wengi ni vijana wadogo, taratibu za kiofisi na maadili ya kazi hawajui. Hawapatikani kwa kupokezana madaraka, ni kwa uchama na unasaba.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ile bandeji ndo inaleta mashaka. Kwamba ni kipigo gani icho alipigwa mpaka kuwekewa bandeji kama vile! Siamini kama DC ana ujinga wa kutoa kipigo cha bandeji ile kwa raia
 
Kwenye maelezo yake anajichanganya hata mwenyewe tu. Eti nilivyopigwa nikaenda nyumbani,sikuwakuta wazazi,nikalala. Utalala vipi badala ya kwenda hosp?. Halafu ukicheck lipamba limejaa uso mzima. Yaani hapo kuna namna
 
Avue bandage tulione bandage.
Hivi kwa nini alimshika mkono mtoto wa kike tena kigori, mamlaka hiyo alipata wapi?
Mmh! Jamani! Mkuu wa wilaya Simalenga kwa umri wake ni sawa na baba wa yule msichana . Kumshika mkono kuna shida gani?

Anyway. Uzi wangu unataka ushahidi kama kweli huyo binti kajeruhiwa hiyo pamba iliyobandikwa kwa supper glue iondolewe.
 
Kwenye maelezo yake anajichanganya hata mwenyewe tu. Eti nilivyopigwa nikaenda nyumbani,sikuwakuta wazazi,nikalala. Utalala vipi badala ya kwenda hosp?. Halafu ukicheck lipamba limejaa uso mzima. Yaani hapo kuna namna
Kuna uhuni mwingi ktk hili sakata
 
Sasa hoja ni ipi?
1. Kiwango cha pigo halihusiani na bandeji?
2. Huyo sio wa kusoma?
3. Kwamba ikiondole2a bandeji na ikutwe ana uvimbe si jeraha inakuwa hajaigwa?
A. Je ikatokea na kuthibitika kapigwa.
B. Ikatokea ni ukweli. Je hii hypothesis yako unapotea.

Katika habari hii ukweli ni huu.
1. Dc yupo
2. Anasema kapigwa yupo.
3. Ipo hospitali mpigwaji ameenda. Hata kama sio rasmi
Kwahiyo uwezo wa kupata uhakika upo
 
Kwamba ikiondole2a bandeji na ikutwe ana uvimbe si jeraha inakuwa hajaigwa
Bandage ya nn kwenye uvimbe? Bandage huwekwa kwenye open wound.

Kama kidonda hakitwkutwa kwenye bandage itakuwa ni uhuni tu
 
Bandage ya nn kwenye uvimbe? Bandage huwekwa kwenye open wound.

Kama kidonda hakitwkutwa kwenye bandage itakuwa ni uhuni tu
Kwahiyo kama amepigwa lkn kwa ujinga wake au waliomhudumia wakawela bandeji isivyo, kupigwa kwake kuna kuwa batili
 
Kwa hiyo bwashee sisi tuliosoma jalalani university hatuna hayo maujanja ya kujua huyo mwanafunzi kapigwa kofi au ngumi?
Kofi au ngumi hazichubui ngozi ama kuikata ngozi kiasi cha kuhitaji bandage. Bandage na kupigwa kofi haviendani
 
KAMUULIZE MH GWAJIMA WAZIRI NA KAMATI YAKE ALIOUNDA ..LLAH
WAZIRI AAWEZA DANGANYA
MTUACHE KAKOSEA AOMBE RADHI
MAMA ANA MALIZANA NA NEC KWANZA ASUBIRI MATOKEO....DK AJUI KUPINDA MPE MDA NDUGUYO MNEMTETEA
 
Maswali ya kitoto haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…