DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

Hoja ya bandeji imeisha,eti wamehamia kwenye hoja ya kumshika mkono[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Bint kapigwa pole yake na kawekewa pamba kavu isiyo na dawa halafu uso haujavimba, na watu wanaamini kapigwa, Mimi siamini kabisa
 
Kwani CCM wameanza leo kuwapiga Watanzania? Ubabe wanao muda mrefu tu kuanzia enzi za Nyerere.

Bint kapigwa pole yake na kawekewa pamba kavu isiyo na dawa halafu uso haujavimba, na watu wanaamini kapigwa, Mimi siamini kabisa
Mm hata unishikie bunduki siwezi kuamini wala kukubali kuwa kapigwa.
 
Inamaanisha walikuwa na mahusiano pengine.
Kwani huyo DC si alikuwa muigizaji bongo movie?

Tabia ni kama ngozi haibadiliki.
Kwa hili sasa naanza kufunguka akili huenda alikuwa anacheza "IGIZO" jipya... ikatumika nguvu kupita kiasi.....
 
Bongo movie msichana under ground hupewi scene kuigiza bila kupigwa mbupu...

Huo ndy ukwl.

Tabia haibadiliki ni kama ngozi.
 
Mbinu chafu za baadhi ya watu wanaopinga kazi kubwa inayofanywa na Mkuu wa wilaya ya songwe hatimaye zimegonga mwamba

Kelele za kutaka kiongozi shupavu kutolewa kwenye majukumu zimenyamaza

Hakika maji hujitenga na mafuta

Mwalimu wa tuisheni.
 
Akibaki baada ya panga la mama niite pusi nimekaa paleee.
 
Mbinu chafu za baadhi ya watu wanaopinga kazi kubwa inayofanywa na Mkuu wa wilaya ya songwe hatimaye zimegonga mwamba

Kelele za kutaka kiongozi shupavu kutolewa kwenye majukumu zimenyamaza

Hakika maji hujitenga na mafuta

Mwalimu wa tuisheni.
...Wewe ni CHAWA[emoji57][emoji57] Au ni Simalenge Mwenyewe !!
 
Mbinu chafu za baadhi ya watu wanaopinga kazi kubwa inayofanywa na Mkuu wa wilaya ya songwe hatimaye zimegonga mwamba

Kelele za kutaka kiongozi shupavu kutolewa kwenye majukumu zimenyamaza

Hakika maji hujitenga na mafuta

Mwalimu wa tuisheni.
Shupavu kupiga watoto wa kike?

Uchawa haupendezi ukiwa over 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…