Labda alimtongozaKama DC katoa warning kampasua binti jicho,
Je angempiga ?
Binti angekuwa ktk hali gani..
Uetetezi mwingine hovyo kabisa.
Wanachapwa na walimu sio nje ya hapo. Yaani hapo kakiri kuwa alikusudia kutenda kosa akaombwa msamaha na bahati mbaya yeye hajashtuka kuwa amekosea.Shuleni wanafunzi hawachapwi?
Kuchagua vijana wa hovyo ndio matokeo yake. Sijui alikula maharage ya wapi. Fatuma Karume amwekee mikono apate haki yake huyu mtoto kaumizwaHivi unaruhusiwa kupiga? Tuliosoma Cuba tushaelewa ,wewe simalenga subiri tu report itoke hurudi zako kaole ukaendeleze usanii.
Lawezekana sn hilo mkuuLabda alimtongoza
Binti,akachomoa [emoji1]
Dc kuchomolewa tena kaona dharau
Ova
Kosa la binti lilikuwa nini mpaka kupelekwa kupata kipigo?Kama DC katoa warning kampasua binti jicho,
Je angempiga ?
Binti angekuwa ktk hali gani..
Uetetezi mwingine hovyo kabisa.
Alikaa sehem isiyotakiwa.Kosa la binti lilikuwa nini mpaka kupelekwa kupata kipigo?
"Nilitaka kumpiga nikamshika Mkono akaomba Msamaha!"
Kweli haikubaliki akilini. Kuna jambo haliko sawa. Hata hivyo, maelezo ya binti yana mapungufu kadhaa. Labda clip imekatwakatwa maana waswahili tuna visa.Alikaa sehem isiyotakiwa.
Hivi inaingia akilini kweli?
Kipo kitu sirini.Kweli haikubaliki akilini. Kuna jambo haliko sawa. Hata hivyo, maelezo ya binti yana mapungufu kadhaa. Labda clip imekatwakatwa maana waswahili tuna visa.
Haibadilishi chochote anaweweseka tuWewe kuwa wa mwisho au wa kwanza kuamini kunabadilisha chochote?
Tuachane na siasa za majitaka kwa kukuza mambo yasiyokuwepo! Kwa umri wako huo ulishakutana na bandeji ya aina hiyo? Uoni kuwa hapo ni full maigizo?Turejee videoView attachment 2438203
Mjinga sana,hata kuongea hajui.......hivi hawa jamaa wanaokotwa kwenye madampo nini? Yaani ni aibu sanaKama DC katoa warning kampasua binti jicho,
Je angempiga ?
Binti angekuwa ktk hali gani..
Uetetezi mwingine hovyo kabisa.
Nikweli inawezekana ni ya mchongo,ila umesikiliza utetezi wa disiii? Ukiusikia utaelewa alichokifanyaBandej la mchongo
PweintiNikweli inawezekana ni ya mchongo,ila umesikiliza utetezi wa disiii? Ukiusikia utaelewa alichokifanya
Nje ya mada, video/link iliotumwa hapa jf mbona kwangu huwa haifunguki?Turejee videoView attachment 2438203
Kiukweli hii tabia iliota mizizi kipindi cha JPM sasa bado wanadhani wapo utawala wa gizani.Kwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?
Lazima kulikuwa na witness wengi tu, hivyo kama hawatatishwa ukweli utajulikana. Yaani kitendo cha yeye kushika mkono tena mtoto wa kike... Yaani ni kosa kubwa sana.
Hiki kiburi cha Wakuu wa Wilaya toka enzi za JPM inabidi kidhibitiwe. Nakumbuka akina Chalamila waliwahi piga watoto wa watu halafu kuna watu wakawa defend. Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Enzi za JK kuna Mkuu wa Wilaya alimtandika viboko mwalimu wa shule ya msingi.... Kikwete alimtimua kazi kesho yake.
Sitashangaa kusikia ana negotiate dau ili atoke salama. Kwa hiyo matokeo ya uchaguzi nafikiri tayari yameshajulikana.
Acha ujuaji usio kuwa na maana.Wazungu hao unaowasema wa wapi au Buza? Maana kwa mbele ukimpiga mtoto unapewa adhabu kali sana , watoto wa kizungu wanafundishwa hadi kupiga 911 wakipigwa na wazazi.