DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

Mimi namfahamu huyo Hamad Mushamu ni Mwanachama mwadilifu wa Chadema

Umeamua kujitoa kimasomaso siyo? Hao ndiyo tunaokukumbusha kila siku kuwatofautisha na watanzania.

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg


Habari ndiyo hiyo!
 
Dogo akifika wajela jela ni lazima wamtoe bikra kwa mchuzi wa maharage na ugali
 
Ni mia mbili tu halafu sio kila siku😃
Aaah we! Tena bora ile anaomba kwa mzazi. Hii sasa ndio itabidi itafutwe namna vidude biliwešŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Likizo maana yake watoto wapumzike, yani shule waliopaswa kusoma kabla ya kufunga walimu hawafundishi vizuri wakisubiria kutema nondo tuition...kwanini usichome shule ? Hili nalo likatazamwe tuition ziwe voluntary na sio kitu ya lazima.
 
Huu mtindo wa kutokufunga shule wakati wa likozo za wanafunzi ni upuuzi mtupu. Kalenda ya masomo inaonesha wazi kutakuwa na likizo walimu wapuuzi na wenye kupenda sifa kuwa wanafundisha hubakisha baadhi ya madarasa hawafungi shule huendelea na masomo. Huko ni kuwachosha wanafunzi na kanuni za ufundashaji hazifuatwi. Madhara yake ndio haya wanafunzi wanachoka kufundishwa na huamua kufanya mambo yao ya hovyo
 
Kama ni form two sishangai hapo huenda wameambiwa waendelee na masomo ya ziada

Na mkuu wa shule una lako jambo, watoto wapo likizo wewe unaleta uziada ona umesababisha athari, wakuu wengine wajifunze
mtoto anataka aende nyumbani kuangalia movie mpya mnawakatalia🤣🤣🤣
 
Huu mtindo wa kutokufunga shule wakati wa likozo za wanafunzi ni upuuzi mtupu. Kalenda ya masomo inaonesha wazi kutakuwa na likizo walimu wapuuzi na wenye kupenda sifa kuwa wanafundisha hubakisha baadhi ya madarasa hawafungi shule huendelea na masomo. Huko ni kuwachosha wanafunzi na kanuni za ufundashaji hazifuatwi. Madhara yake ndio haya wanafunzi wanachoka kufundishwa na huamua kufanya mambo yao ya hovyo
Huyo dogo atafanya akili zao zikae sawa na kuwaza maswala yao ya ajabu

Yani siku hizi shule imekuwa ni adhabu kwa wanafunzi aisee
 
Back
Top Bottom