DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

Sasa hii si inakua pesa bila shuruti le madame, remedial zina kelele jamani hela yake ina masimango yani pesa ya remedial ukinunua chips hadi unaona chips hazina ladha 😂😂😂
Ila watu mna nguvu na wito🙆‍♂️🙆‍♂️
Vipindi vya kawaida tu huwa natamani kugawa, ndio uniongezee!! Aaaah sifundishiiiii🤣🤣
 
Kuna ratiba ya kufunga shule mwezi wa sita lakini shule Huwa hazifungwi kwa kisingizio cha kuongeza ufaulu,hata vyuo vikuu Huwa Kuna semister break,watoto wanachoka
 
Ila watu mna nguvu na wito🙆‍♂️🙆‍♂️
Vipindi vya kawaida tu huwa natamani kugawa, ndio uniongezee!! Aaaah sifundishiiiii🤣🤣
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
No reforms, no election✌️
 
Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo...

Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya Majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama yawaka moto, inadaiwa kuna hujuma
MKUU WA WILAYA AELEZEA
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile anasema “Moto huo umesababisha hasara kubwa, umeharibu majengo kadhaa, chakula cha Wanafunzi kimeteketea chenye thamani ya Sh. Milioni Moja, pia chakula kingine kilichosalia nacho hakipo katika mazingira mazuri kwa maana hiyo hakifai kutumika, pia magodoro, vifaa ya umeme navyo vimeungua.

Moto huo ulitoka mara tatu katika siku tatu tofauti, ulitokea Mei 31, 2025, Juni 1, 2025 na Juni 3, 2025.

Awali ilidaiwa kuwa ni Wananchi ndio wanafanya hivyo lakini Vyombo vya Dola vimechunguza na kubaini mhusika ni Mwanafunzi wa Kidato cha Pili katika shule hiyohiyo, anaitwa Hamad Mushamu.
Mtuhumiwa huyo (Mwanafunzi) amekiri mwenyewe kuwa amechoma ili shule ifungwe, alisema amechoma ili shule hiyo ifungwe yeye apate muda wa kupumzika.

Ilipotokea moto mara ya kwanza kulifanyika kikao kujadili kilichotokea, Wazazi na Walimu waliposema kitu fulani hakijachomwa, baadaye Mwanafunzi huyo alienda akachoma tena hicho ambacho kilionekana hakijachomwa.

Alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa akishiriki vikao vya kujadili matukio ya moto, hivyo alikuwa anajua kinachotakiwa kuchomwa hadi Shule ifungwe.

Kwa sasa Mwanafunzi huyo ameshikiliwa na yupo chini ya ulinzi, anatarajiwa kupelekwa Mahakamani, tumezungumza na Wazazi wake nao pia wamesema mtoto wao ni mkorofi.

Masomo yanaendelea kama kawaida wakati hatua nyingine zikiendelea.
Huyo asishikiliwe tu kindezi,awe na watu walio na siha njema ya akili waendelee kupata madini kutoka kwa hiyo mwamba kwani inawezakana hako ni Ka Qenious fulani hivi halafu vilaza wameshindwa kumsoma wala kumwelewa.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
NO reform no election ifahamike hivyo reforms zinazotakiwa zikifanyika acha mambo yaende inavyotakiwa.
 
Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo...

Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya Majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama yawaka moto, inadaiwa kuna hujuma
MKUU WA WILAYA AELEZEA
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile anasema “Moto huo umesababisha hasara kubwa, umeharibu majengo kadhaa, chakula cha Wanafunzi kimeteketea chenye thamani ya Sh. Milioni Moja, pia chakula kingine kilichosalia nacho hakipo katika mazingira mazuri kwa maana hiyo hakifai kutumika, pia magodoro, vifaa ya umeme navyo vimeungua.

Moto huo ulitoka mara tatu katika siku tatu tofauti, ulitokea Mei 31, 2025, Juni 1, 2025 na Juni 3, 2025.

Awali ilidaiwa kuwa ni Wananchi ndio wanafanya hivyo lakini Vyombo vya Dola vimechunguza na kubaini mhusika ni Mwanafunzi wa Kidato cha Pili katika shule hiyohiyo, anaitwa Hamad Mushamu.
Mtuhumiwa huyo (Mwanafunzi) amekiri mwenyewe kuwa amechoma ili shule ifungwe, alisema amechoma ili shule hiyo ifungwe yeye apate muda wa kupumzika.

Ilipotokea moto mara ya kwanza kulifanyika kikao kujadili kilichotokea, Wazazi na Walimu waliposema kitu fulani hakijachomwa, baadaye Mwanafunzi huyo alienda akachoma tena hicho ambacho kilionekana hakijachomwa.

Alifanya hivyo kwa kuwa alikuwa akishiriki vikao vya kujadili matukio ya moto, hivyo alikuwa anajua kinachotakiwa kuchomwa hadi Shule ifungwe.

Kwa sasa Mwanafunzi huyo ameshikiliwa na yupo chini ya ulinzi, anatarajiwa kupelekwa Mahakamani, tumezungumza na Wazazi wake nao pia wamesema mtoto wao ni mkorofi.

Masomo yanaendelea kama kawaida wakati hatua nyingine zikiendelea.
Makubwa haya si angepumzika mwenyewe tu !
 
Back
Top Bottom