Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sahihi kabisa, sio kuchukua mkazi wa Kariakoo kwenda kuongoza wafugaji huko Mara.
RC na DC wanatakiwa wawe wenyeji wa hayo maeneo na wachaguliwe na wananchi. Ili wajue matatizo ya watu wake. Kuna mmoja zama za mwalimu alipangiwa Kilimanjaro, katika mazungumzo yake akasema "nimekuja kutawala Wachaga".