RC na DC wanatakiwa wawe wenyeji wa hayo maeneo na wachaguliwe na wananchi. Ili wajue matatizo ya watu wake. Kuna mmoja zama za mwalimu alipangiwa Kilimanjaro, katika mazungumzo yake akasema "nimekuja kutawala Wachaga".
Maajabu Sana, Ila ndiyo hivyoInawezekanaje kuhamishwa bila "TAARIFA KWA UMMA?"
Nani kakwuambia?We dc nasari embu ukae kwa kutulia haya malalamiko yako humu hayatakusaidia kitu tena utapelekea tukutoe hapo ulipo urudi kwako upinzani.
Hujui huyo unayempigia kelele ndio Rais ajaye.
Eboh#$&+*#@ huna adabu we mtoto.
Jimboni kwake hataki hata chuo cha VETA, anawaogopa wakufunzi na wanafunzi kutoka nje ya wilaya. Aliwahi kupinga kujengwa kwa Campus ya chuo cha IFM Iramba. Chuo kikahamishiwa Simiyu.Mwigulu hahitaji mjanja jimboni kwani anaweza kuwazindua wapiga kura na uboya wake
Hakuna unachoelewa wewe kuhusu uongozi na utawala.Ndio maana inatakiwa DC na RC wapigiwe kura na wananchi katika maeneo yao.
Huo ndio umuhimu wa katiba mpya.
Kisha vimba sana unaweza kuondolewa kwa njia ambazo kila mtu atabaki anajiuliza umeondokaje na asipate majibu. Huwezi kumvimbia aliyekuzidi mamlaka au umfanye mwenye mamlaka akuogope hilo haliwezi kutokea kamweMwigulu ndo Boss wa Samia. Samia pale kivuli tu, ndo maana anatukana wananchi anavyotaka hadi wabunge wenzake na hamna kitu anaweza kumfanya
So nasari kapelekwa kwao monduli,mwigulu ameogopa nasari atamfunikaš halafu ni hela za walipa Kodi zinachezewa,juzi wametoka kilipwa kuhamia iramba, kesho watalipwa kwenda monduli,that's double payments,halafu mnasema nchi Haina fedha?bladfaken š¤Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaku huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi.
Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani zamani? Tena ukijitutumua ni mzalendo na mpenda maendeleo!! Sasa kaja sio sebuleni bali chumbani kwako.
Rais Samia amemuondoa Joshua Nasari kutoka Iramba na kumpeleka Monduli Umasaini kimyakimya. DC wa zamani Iramba Selemani Mwenda naye aondolewa Monduli na kurudishwa tena Iramba.
Mkiambiwa Mwigulu ni mmoja wa Washauri wa Rais mtabisha?
Kijana wa mzee wa msoga huyo,hatishwi na yeyotešMwigulu ndo Boss wa Samia. Samia pale kivuli tu, ndo maana anatukana wananchi anavyotaka hadi wabunge wenzake na hamna kitu anaweza kumfanya
Waambie ukweli hawa mapimbi!Sio kupigiwa kura, hakuna haja ya kuwa na RC wala DC vyeo vya kikoloni vyenye mlengo wa kisiasa hivyo vina liingizia taifa hasara tu.
Dc mpya wa misenyi ulimsikia lwa pdf?Inawezekanaje kuhamishwa bila "TAARIFA KWA UMMA?"
KiruuuuuRC na DC wanatakiwa wawe wenyeji wa hayo maeneo na wachaguliwe na wananchi. Ili wajue matatizo ya watu wake. Kuna mmoja zama za mwalimu alipangiwa Kilimanjaro, katika mazungumzo yake akasema "nimekuja kutawala Wachaga".
Kama wale waliogomea, nafasi zao zimezibwa kimyakimya.Dc mpya wa misenyi ulimsikia lwa pdf?
Miaka yoote hiyo Mwigulu kazi yake ni nini?Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaku huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi.
Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani zamani? Tena ukijitutumua ni mzalendo na mpenda maendeleo!! Sasa kaja sio sebuleni bali chumbani kwako.
Rais Samia amemuondoa Joshua Nasari kutoka Iramba na kumpeleka Monduli Umasaini kimyakimya. DC wa zamani Iramba Selemani Mwenda naye aondolewa Monduli na kurudishwa tena Iramba.
Mkiambiwa Mwigulu ni mmoja wa Washauri wa Rais mtabisha?
Vyeo vya kuhonga waiosaidia kuiba kuraKwa hakika sioni umuhimu wa hivi vyeo zaidi ya kupiga siasa tu. Na kama majukumu yao ni muhimu sana yanawezwa kufanya na DAS au RAS. Hakuna haja ya kuwa na vyeo vya aina zote hizi mbili kwa pamoja.
Vyeo vya kuhonga hivyoSio kupigiwa kura, hakuna haja ya kuwa na RC wala DC vyeo vya kikoloni vyenye mlengo wa kisiasa hivyo vina liingizia taifa hasara tu.
Mbolea ya ruzuku ya iramba Haina viwango kivipi mkuu!?..Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaku huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi.
Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani zamani? Tena ukijitutumua ni mzalendo na mpenda maendeleo!! Sasa kaja sio sebuleni bali chumbani kwako.
Rais Samia amemuondoa Joshua Nasari kutoka Iramba na kumpeleka Monduli Umasaini kimyakimya. DC wa zamani Iramba Selemani Mwenda naye aondolewa Monduli na kurudishwa tena Iramba.
Mkiambiwa Mwigulu ni mmoja wa Washauri wa Rais mtabisha?
Hatari sanaSo nasari kapelekwa kwao monduli,mwigulu ameogopa nasari atamfunikaš halafu ni hela za walipa Kodi zinachezewa,juzi wametoka kilipwa kuhamia iramba, kesho watalipwa kwenda monduli,that's double payments,halafu mnasema nchi Haina fedha?bladfaken š¤
Kuna mtu yupo huko kaniambia hadi utumie awamu tatu ndipo mazao yapendeze. Pia ni ngumu kuipata, watu huenda Mbulu na Igunga kuisaka. Kwani Wakulima jimboni kwa Waziri wasipate mbolea kwa muda muafaka?Mbolea ya ruzuku ya iramba Haina viwango kivipi mkuu!?..