DC wa Iramba, Joshua Nasari(dogo janja) ahamishiwa Monduli na DC Selemani Mwenda wa Monduli arudishwa tena Iramba

Kwa hiyo unaambiwa na mtu Yuko mbali na unalibeba hivyohivyo kwamba mbolea ya ruzuku iramba Haina ubora,kwamba kiwandani palikua na batch ya iramba pekee!!..uwe unatafakari
Haina ubora, saivi Kuna viwanda feki, matajiri wamekimbilia uwekezaji wa mbolea, hujui hilo? Poleehh?
 
Sasa kilichomfanya amfitinishe Nasari hadi kuondolewa huko ni kitu gani?
Kwani DC anambana nini mbunge hadi amftini?,, Hakuna logic,, maana yake ni kuwa hizi tuhuma ni fake news🤷‍♂️
 
Haina ubora, saivi Kuna viwanda feki, matajiri wamekimbilia uwekezaji wa mbolea, hujui hilo? Poleehh?
Hiyo ya iramba isiyo na ubora imetoka wapi na zingine zenye ubora zimetoka wapi!?..
 
Mwigulu ndo Boss wa Samia. Samia pale kivuli tu, ndo maana anatukana wananchi anavyotaka hadi wabunge wenzake na hamna kitu anaweza kumfanya

Boss wa Samia sio JK tena sasa hivi ni Mwigulu .. maajabu akaaaaa
 
Hiyo ya iramba isiyo na ubora imetoka wapi na zingine zenye ubora zimetoka wapi!?..
Saivi Kuna mbolea nyingi mno. Nyingine zimechakachuliwa na wafanyabiashara wenye tamaa na hela za Ruzuku. Pia utakuta 50kg kumbe ni 45 kg. Ajabu tupu!!!
 
Kwani DC anambana nini mbunge hadi amftini?,, Hakuna logic,, maana yake ni kuwa hizi tuhuma ni fake news🤷‍♂️
Mkuu Mwigulu kwa tetesi hakutaka Nasari afahamu Siri zake huko Iramba. Mwigulu kwao hafanyi lolote la Maana na anacholinda ni cheo chake aweze kuwa Rais ikiwezekana baadae. Nasari alipofika Iramba alikuta Halmashauri inadai hela nyingi Sana kwa watu ikiwepo Kodi, hela kuliwa na wakuu wa idara na huduma nyinginezo kuna upotevu mkubwa. Aliwasweka watu ndani wakiwepo Friends of Mwigulu. Ndani ya muda mfupi alikusanya hela nyingi mno.

Gari la DC lilikuwa Gereji Mwanza kwa muda wa Mwaka mzima. Ajabu Sana hii!! Nasari akatoa saa 72 Gari lake lije na likatoka Mwanza na kuja Iramba ndani ya saa hizo. Halmashauri ya Mwigu Waziri wa Fedha kwa ujumla ni hovyo Sana.
 
Hizi hamisho na teuzi za hovyo ni mzigo sn kwa wananchi
 
Hizi hamisho na teuzi za hovyo ni mzigo sn kwa wananchi
 
Saivi Kuna mbolea nyingi mno. Nyingine zimechakachuliwa na wafanyabiashara wenye tamaa na hela za Ruzuku. Pia utakuta 50kg kumbe ni 45 kg. Ajabu tupu!!!
serikali haiwezi toa ruzuku kwa suppliers tofauti kwa huduma moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…