DC wa Kisarawe apunguze show kwenye mitandao ya kijamii afanye kazi

Mambo yake muachieni mwenyewe...

Kuna watu anawalingishia, waliyokua wanasema hawezi...


Cc: mahondaw
 
Sikupendega huyu mrembo kupewa udc,lakini huyu binti anajitahidi banah,wampe ukuu wa mkoa huyu
 
Kama huoni anayoyafanya DC wa kisarawe juu ya wilaya yake na wakazi wake kwa ujumla utakuwa mwanga mkuu
 
kielelezo cha kutofanya kazi ni kupiga picha mitandaoni?
 
Umri wake unamruhusu kufanya afanyavyo, tusimlinganishe na mzee Mkuchika! Hata hivyo kamejitahidi kiasi fulani!
 
Binafsi siyo mwanakijani lakini huyu Dada hana shida,huskii kauli za dhurma sifa ubabe ama lolote la ujivuni,muda mwingi anafanya mambo ya kawaida yanayowagusa wanaomzunguka,
She is humble hana ulimbukeni
 
Tulimumu achana na binti huyu. Huyu ni defacto first lady
 
Watu wengine acheni wivu mambo ya picha yanawahusu nini? Jokate aliteuliwa kwakua alionakaza ni mchapa kazi Kama VP kamamwambie aliye mteua kuhusu hili pengine waweza teuliwa wewe
 

This bitch is done!

You’re wasting your time talking about this “anything goes” bitch!

Kaishiwa pumzi tayari!

Bwe bwe la mwanzo lote lishaisha,back to reality!
 
Unapaswa kujiuliza kiongoz wa nchi km yeye akifanya kitu huita media zimuoneshe pengine hata haifai nkupe mfano mdogo tu. Kumuomba radh/msamah mtyu uwe umemkosea au amekukosea c la kutangaza kwa watu ila ni kuendeleza aman mshikamano na pia yule anae omba msamah katambua yey ni binadam hajakamilka wala haluna kingine. Unapaswa kuangalia nan source. Ukimuangalia DC hana kosa. Yeye ana brand kile anachofanya. Sasaiv ukimsifu rais anakupa cheo. Ukimkosoa unakua adui amesahau nafas aliokua nae.(kiongoz bora ni yule anae kubal kukosolewa kwan yey c mkamilifu, kuna walo soma au wanauelew kuliko yeye. )
 
mimi sioni tatizo mradi anapiga kazi
 
Keep working hard Jokate and prove them wrong..
 
Hawa Watu wakiondoka maofsini kidogo itakuwa angalau. Maana wazeee wanazingua sana,
 
Loyola,mzizima, Shaban Robert,st.Antony alumni lazima watamjibia
 

Wivu mtupu ,Huyu atakua ni Bashite mkuu, anaumia kuona mwenzie anakubalika kwenye mitandao sasa anaona wivu

Bashite anataka yeye ndio awe juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…