Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nadhani anatumia social media kupata baadhi ya misaada yake huko wilaya kwako kwa kuhamasisha, sidhani kama kuna ubaya mtu akiwa anatumia positive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
URC, UDC, Uwaziri, ni madaraka ya Usimamizi tu katika eneo lao la Utawala.Si yeye tu katika vyeo ambavyo ni useless katika nchi hii basi ni u DC hauna manufaa yoyote kwa mwananchi,kazi yao kubwa kusaini vyeti vya watoto kuzaliwa na vya ndoa.HOPELESS KABISA.
Kipindi hicho anacheza kikapu pazi mazoezi yao pale tanesco nmemuzia sana RabaYaan siwez sahau asiee hahhhaha kuna ile amebeba watu anawavusha
Aliwabeba waandish wahabari akawavusha mtaroni hahahYaan siwez sahau asiee hahhhaha kuna ile amebeba watu anawavusha
Duu hiyo kali wapi ukoAliwabeba waandish wahabari akawavusha mtaroni hahah
Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status.
Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbalimbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment.
Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha zake akiwa amevalia mavazi mbalimbali akijifanya wakati mwingine yuko kwenye shughuli fulani anakwenda kufanya jambo fulani la kikazi.
Mimi naona hii haitamsaidia sana labda analewa comments za watu kumsifia labda kwa uzuri wake na mwonekano wake ndiyo maana kila wakati anahangaika na picha lakini sio sehemu ya kazi.
Ni ushauri tu jamani maana maDC wenzake wapo na wanapiga kazi lakini hawahangaiki na mapozi ya picha za kuweka mitandaoni.
Tatizo ni kuwa wasanii ni watu ambao wako sana kwenye media na yeye katoka huko alishazoea kuandikwa na kupostiwa kila siku.
Sasa amekuwa DC hawezi kufuatwa fuatwa kama zamani kaona bora kazi aifanye yeye mwenyewe maana ameona atakuwa hasikiki bila kujitangaza.
View attachment 1277201
Kwani hafanyi kazï? Acha wivu..Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status.
Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbalimbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment.
Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha zake akiwa amevalia mavazi mbalimbali akijifanya wakati mwingine yuko kwenye shughuli fulani anakwenda kufanya jambo fulani la kikazi.
Mimi naona hii haitamsaidia sana labda analewa comments za watu kumsifia labda kwa uzuri wake na mwonekano wake ndiyo maana kila wakati anahangaika na picha lakini sio sehemu ya kazi.
Ni ushauri tu jamani maana maDC wenzake wapo na wanapiga kazi lakini hawahangaiki na mapozi ya picha za kuweka mitandaoni.
Tatizo ni kuwa wasanii ni watu ambao wako sana kwenye media na yeye katoka huko alishazoea kuandikwa na kupostiwa kila siku.
Sasa amekuwa DC hawezi kufuatwa fuatwa kama zamani kaona bora kazi aifanye yeye mwenyewe maana ameona atakuwa hasikiki bila kujitangaza.
View attachment 1277201
Iringa hio mkuu walikua wanakagua miradi wakapita sehemu kuna maji mengi akawabeba waandish mgongoni akawavushaDuu hiyo kali wapi uko
Ha ha Da hiyo kali sana imepitiliza sijui ilinipitaje hiyo. Shukrani.Iringa hio mkuu walikua wanakagua miradi wakapita sehemu kuna maji mengi akawabeba waandish mgongoni akawavusha
Sijaona kosa lake ukizingatia umri wake na alikotokea.Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status.