Nakubaliana na mleta uzi. Viongozi wengi wa kisiasa duniani wanatumia social media kujitangaza na kuwafikia wapiga kura wao ila huyu umezidisha, mapicha na video yamezidi. Ni aina fulani hivi ya ulimbukeni na utoto!
Wengi tunajua watendaji wakuu mikoani na wilayani ni RAS, DEDs na DAS na kwamba vyeo vya RC na DC kimsingi ni ceremonial. RC na DC ni vyeo vya kikoloni na kwa sasa ilibidi viwe obsolete na hata wananchi walitoa maoni kwenye mchakato wa katiba mpya kuwa viondelewe lakini ndio hivyo tena tuna patronage system ya kijinga ya kupeana hivi vyeo kama zawadi hata nguli wa habari, Ulimwengu, aliwahi kulizungumzia hili.
Mikoa na wilaya inapaswa Kuongozwa na technocrats sio hawa makada.
Mavideo na mapicha picha kila kukicha ya nini? Maturity muhimu sana aisee.