milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Ndio wanaosema wameunda serikali Hawa?Hii hamjaiona?
View attachment 3084469
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wanaosema wameunda serikali Hawa?Hii hamjaiona?
View attachment 3084469
Siasa na Ukweli Wapi na Wapi bwashee?! 😄Lucas Mwashambwa na johnthebaddest wanayomajibu
Ukweli huo unajulikana, ila kabla ya kuusema jitafakari nafasi yako ni ipi.Anatumbuliwa kwa kusema ukweli?
Mkuu wa wilaya amesema ukweli, Nape alisema ukweli, Samia hataki watu wajue ukweli.
Ukweli huwa haujifichi mkuuAlizingua na kauli zake
Hata huko Kanisani na Msikitini bado Wanasiasa wanaenda huko huko na Kisha Wanasema Uwongo ndani ya hizo Nyumba za Ibada.Siasa na Ukweli Wapi na Wapi bwashee?! 😄
Ukweli uko Kanisani na Msikitini
Watu wengi wanaujua ukweliHaikupaswa kuishia hapo ilibdi apelekwe ahojiwe kuhusu aliyoyasema maana yeye kama kiongozi anajua ukweli wa alichokisema
Ila anavumilia utekaji wa viongozi na wanachama wa ChADeMa, au sio!?Mh.Samia Suluhu Hassan Rais wetu bora asiyevumilia ujinga wa watendaji wake...
Ujinga upi? Huo ndo uhalisia wa mambo yanavyo fanyika..Mh.Samia Suluhu Hassan Rais wetu bora asiyevumilia ujinga wa watendaji wake...
Wanahitajika waku wa Wilaya zaidi wa aina hii kujitokeza mbele. Na siyo ma-DC pekee; wajitokeze na wengine zaidi walio husika kwa njia moja au nyingine katika uchafuzi huo.
Asiyevumilia usiposema ukisema anapita na wewe!Mh.Samia Suluhu Hassan Rais wetu bora asiyevumilia ujinga wa watendaji wake...
Unatulia zako huku unachezea mjegejeDC katurahisishia kazi, hakuna haja ya kupanga foleni huko kupigwa jua.....nitatulia ndani
Wanayo yafanya hawa akina 'Chura Kiziwi' ni tofauti kabisa na yaliyo lengwa na uwepo wa mwenge huo.Msema kweli daima
View attachment 3084404
Mwenge wa uhuru uliwashwa kwa mara ya kwanza juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro mwaka 1961.
Mwenge huu unamulika ndani na nje ya mipaka ili kuleta matumaini pale ambapo kuna kukata tamaa, upendo pale kwenye chuki na heshima pale kwenye dharau.
kila mwaka kuna mbio za mwenge zinazoanzia kwenye mikoa tofauti kuwakumbusha watanzania jukumu lao la kulinda umoja na amani ambavyo vimekuepo na kudumu.
Umeona eeee.Kauli yake ichunguzwe kama inaukweli arudishwe..
Rais aliyeingia Kwa wiz wa kura kama alivyosema mkuu wa wilayaMh. Rais wetu safiiiii sanaaa, excellent, hawa viongozi wanaoongea hovyo hovyo na kujiona Miungu watu, dawa yao ndio hiyo, piga chini haraka sana, wala hakuna kelele ni kufukuza kazi tu, safi kabisa 👏👏👏
Rais aliyeingia Kwa wiz wa kura kama alivyosema mkuu wa wilaya