DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

Hiyo sio Tattoo. Ila huyo manzi ni miongoni mwa watu waliojaliawa kuongea mbele ya watu. Yaani anaongea kinyama. Mara ya kwanza kumuona ilikuwa kwenye semina ya ujasiriamali iliyoandaliwa na hayati Lemutuz mwaka 2014 pale Jubilee Towers. Walikuwepo waongeaji wengi akiwemo huyo manzi. Ilipofika zamu yake alikiwasha kinyama... siasa mingi mno.
 
Mh. Rais wetu Mama Samia tumia kalamu yako nyekundu, mtumishi wa Umma, level ya DC anafanya huu upunguani kweli? Hajui maadili ya utumishi wa Umma kabisa na kaaibisha mamlaka za uteuzi, alafu make-up kazijazaa ptuuh..!! 😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…