DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

Mbona Mme WA tuliΓ  alikuaga Yuko huko huko ewura mda sana ,akaondolewa na mwenda zake akaletwa Dom Sijui cheo Gani,nadhani maza kamrudisha Tena ewura
 
Yes,sasa alimruhusu maana na yeye alikuwa anapelekewa moto na Aweso.Angekuwa hana spea tairi unafikiri angemruhusu.Sasa kwa nini aliomba talaka ili ahalalishe na Aweso?Ruhusa ya kinafki,inshort alikuwa na mbadala.
😲😲😲😲 hivi kumbe mi nkajua aweso ndo mume wake wa kwanza, kumbe yule alomruhusu ni mwanaume mwingine ili apate muda na aweso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…