DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

Yaani bado polisi wetu wana mambo ya kizamani, bado huwa wanabambikia watu madawa ya kulevya. Ndio maana hata ushahidi wa madawa ya kulevya hautolewi tena huko mahakamani maana ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Amestahafu huyo mdwanzi na juzi Kati alikuwa na sherehe pale kwake morogoro mitaa ya lukobe.
 
Pampers za watu wazima zimetafutwa zimekosekana hivyo wameona bora akimbie tu
 
We fala kweli. Possible itakuwa unaliwa kiboga
 
Tarehe ikifika utasikia judge amehairisha had tarehe 21
 
Hivi mnapozungumzia "umma" huwa mnamaanisha nini aisee, huenda mie sielewi, ni huu umma unaomtukana JPM kila uchao mitandaoni? embu nendeni site mkamtukane ndo mjue nini maana ya umma.

Site gani, kila siku tunampa vipande vyake huko mtaani na hukuna yoyote anatugusa. Labda umma kwako ni kwenye ofisi za CCM.
 
Site gani, kila siku tunampa vipande vyake huko mtaani na hukuna yoyote anatugusa. Labda umma kwako ni kwenye ofisi za CCM.
Bado anakuchapa hata baada ya kufa?
 
Yaani bado polisi wetu wana mambo ya kizamani, bado huwa wanabambikia watu madawa ya kulevya. Ndio maana hata ushahidi wa madawa ya kulevya hautolewi tena huko mahakamani maana ni upuuzi wa hali ya juu.
Jidanganye!
.
Mbowe anakula mvua 30 na hamna kitu mtafanya
 
Ukweli ni kwamba baada ya Mbowe juzi kwenda pekee yake ofisi ya jaji pamoja na mawakili wa pande zote ndio hii kesi ilipoenda kumalizwa!!!
Kuna washitakiwa watatu nje ya Mbowe. Nao waliitwa 'kuyamaliza'?
 
Ni bora hii kesi iishe ili "magaidi" wetu wawe huru wakakae na familia zao ila sijui hii kesi ikiisha tutapata wapi tena burudani nyingine maana hii kesi ilikuwa ni burudani tosha! Nilitamani sheria ziboreshwe kidogo ili kuruhusu Boaz, Kingai, Swila na "msiri" wao Urio wote kwa mpigo wapigishwe kwata na Kibatala kizimbani halafu afuatie IGP Siro!

Ningetamani pia kama sheria ingeruhusu, jemadari Kibatala angetudokezea kikosi kazi cha askari wa miamvuli aliokuwa amewaandaa kama mashahidi ili tuwafahamu!
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Aisee
 
Sheria ya wapi hiyo ndugu.sheria haiko hivyo
Jaji aliuliza mnataka rais mwinyi aje mahakamani?

Wakili Mallya: Huko mbelene ikihitajika itakuwa hivyo

mdukuzi suburi : utaelewa taratibu maana nyie mlipeleka simu mahakamani bila sim card [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…