DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

Na ushahidi wake wa yale aliyoyafanya akiwa kazini umestaafu pia? Hope you are joking, otherwise this is too low for you.
Hahahaaaa....... Wapi nimesema na ushahidi wake umestaafu.

Kuna baadhi ya kazi ukishastaafu hautatamani tena kuhusishwa kwa loote zaidi ya kutubu na kuokoka!
 
Hatari sn
 
Kufungwa kwa kesi upande wa mashtaka ni fursa kwa Mbowe na wenzake kujitetea ili tuwasikie kisha tuone haki inatendeka
Swilla amemsaidia sana Jaji kuitupilia mbali hii kitu ili watu waendelee na maisha yao ya kawaida!
 
Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi.
aliogopa kudhalilika, maana swali la kwanza angeulizwa tarehe ya kikao chake yeye na Urio kilikuwa ni tarehe ngapi? Mwenzake Urio alisema hakumbuki.

Kupanda kizimbani kwa kesi ya kubumba ndugu - Jipangee.
 
jipeni matumaini but mbowe hachomoki round hii
 
Aliyekuwa surgeon mahiri na mwalimu wangu wa surgery.
 
Kwa ushahidi upi mkuu
 
Mshtaki kaingia mitini.. Sasa ushahidi una kamilikkaje?
 
Hii kesi ni bora tu Jamhuri wakakubali matokeo. Kiukweli wameshindwa vibaya! Maana kila anayekuja kutoa ushahidi, anaondoka akiwa hoi bin taaban!

Na yote hii ni kwa sababu ya ukosefu wa uhalisia wa mashtaka yenyewe!
Ni kwamba kila anayekuja kutoa ushahidi anaonekana ni BOMU kuliko yule aliyemtangulia.
 
Ni kweli watafungwa kama ni mipango ya Serikali iwe hivyo ila hawana hatia kulingana na mwenendo wa kesi. Ila jaji akiamua atawafunga tu nje ya hatia. Ila ujue ili mahakama ikufunge lazima iwe na hatia ya wazii nje ya wingi la mashaka kabisa ambapo kwa kesi hii mmmh hata haionekani kabisa.
 
Mpelelezi hajui hata maana ya Triangulation katika kuidentify estimated location of mobile phone/user .... maajabu ya wapelelezi wa mchongo na serikali inaona bado ni bora kuajiri form four failures.
Ndio maana wameamua kuajili form iv: maana wamwgundua hawa wanaoniita wasomi ni empty kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…