Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Hakuna mwanaume mwenye nguvu ya kumnyima mwanamke hela mazee, and that's nature...🀣
Sema kwakua saizi haujazipata tu...
Ingawa sijafikia malengo yangu lakini alhamdulillah nina kibarua cha kuniweka mjini., nina mpenzi ambae anajielewa na tunaishi vizuri kwa sababu amekubali kuendana na principles zangu. Mwanaume principles mzee baba, sio kuhonga ovyo ovyo
 
Mwanaume kuwa na msimamo/misimamo ni jambo la muhimu.

Bahati mbaya ni watu wachache sana hapa duniani wana misimamo yao isiyo yumbishwa na chochote na yoyote.
 
Na nyie msiwaombe kila mtu abaki na chake,
 
Haujaipata pesa bado kijana...😎
Siku akipata hela atakuja kujicheka sana na hiyo comment yake,

Ni ngumu sana kumuaminisha mtu asiye na hela kua kumuhudumia demu wako sio kitu kibaya,ni sawa na kulimwagia maji ua ulilolipanda ili lionekane vizuri machoni mwako,

Starehe gharama.
 
Lol...
 
Mwanaume kuwa na msimamo/misimamo ni jambo la muhimu.

Bahati mbaya ni watu wachache sana hapa duniani wana misimamo yao isiyo yumbishwa na chochote na yoyote.
Sio kwenye mapenzi kua kama makondooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…