Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Hakuna mwanaume mwenye nguvu ya kumnyima mwanamke hela mazee, and that's nature...🤣
Sema kwakua saizi haujazipata tu...
Ingawa sijafikia malengo yangu lakini alhamdulillah nina kibarua cha kuniweka mjini., nina mpenzi ambae anajielewa na tunaishi vizuri kwa sababu amekubali kuendana na principles zangu. Mwanaume principles mzee baba, sio kuhonga ovyo ovyo
 
Mwanaume kuwa na msimamo/misimamo ni jambo la muhimu.

Bahati mbaya ni watu wachache sana hapa duniani wana misimamo yao isiyo yumbishwa na chochote na yoyote.
 
Kwani huwa mnauzaga hio kitu.

MMpewa Bure, toeni Bure

Vingenevyo mtangaze mko kibiashara. Ili tukija tuje kibiashara.

Mnaweka charges kwenye kitu chenye kuupa utu wako thamani.

U can't be serious.

Mimi Hela napenda niwe natoa mwenyewe Kwa moyo wangu ila ukianza omba omba ovyo inanifikirisha sana na kuanza kukuchukulia Kwa namna nyingine kabisa.
Na nyie msiwaombe kila mtu abaki na chake,
 
Haujaipata pesa bado kijana...😎
Siku akipata hela atakuja kujicheka sana na hiyo comment yake,

Ni ngumu sana kumuaminisha mtu asiye na hela kua kumuhudumia demu wako sio kitu kibaya,ni sawa na kulimwagia maji ua ulilolipanda ili lionekane vizuri machoni mwako,

Starehe gharama.
 
Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela

1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!!

2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!!

View attachment 3078610

Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo.

View attachment 3078613

Dear baby, hela zangu zipo kwa ajili ya kesho yangu ila sio kukuhonga wewe..!!!

I save for my business and not for the Blow J service you provide...!!!

I save for my future and not for pus*y service you provide...!!!

UZI TAYARI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Lol...
 
Mwanaume kuwa na msimamo/misimamo ni jambo la muhimu.

Bahati mbaya ni watu wachache sana hapa duniani wana misimamo yao isiyo yumbishwa na chochote na yoyote.
Sio kwenye mapenzi kua kama makondooo
 
Back
Top Bottom