Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sijakuelewa mkuu🤔Brother we ni SIMP!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa mkuu🤔Brother we ni SIMP!?
Mada imeenda viralKuitoa kwa nani ?
Mmekutana wote akili mojaHela hatuwezi kutoa kizembe, tunazitafuta kwa shida sana.
View attachment 3078679
Kwani unauza nini jirani...?Shikilia vizuri, kelele zote hapo kaombwa 30 tu, wakati wenyewe wanawaomba tamu zao
Haujaipata pesa bado kijana...😎Sio kweli.
Wanaume wote sio kama ulivyo wewe.
We mzee tulia 😂😂😂Sijakuelewa mkuu🤔
Ingawa sijafikia malengo yangu lakini alhamdulillah nina kibarua cha kuniweka mjini., nina mpenzi ambae anajielewa na tunaishi vizuri kwa sababu amekubali kuendana na principles zangu. Mwanaume principles mzee baba, sio kuhonga ovyo ovyoHakuna mwanaume mwenye nguvu ya kumnyima mwanamke hela mazee, and that's nature...🤣
Sema kwakua saizi haujazipata tu...
naona hucheki na mtu binti akija unampokea kama alivyokujaEndelea kuwapa, mm hata ya bando sitoi. Mtu anakazi analipwa mshahara anaomba ela mpaka ya bando.
View attachment 3078688
Na nyie msiwaombe kila mtu abaki na chake,Kwani huwa mnauzaga hio kitu.
MMpewa Bure, toeni Bure
Vingenevyo mtangaze mko kibiashara. Ili tukija tuje kibiashara.
Mnaweka charges kwenye kitu chenye kuupa utu wako thamani.
U can't be serious.
Mimi Hela napenda niwe natoa mwenyewe Kwa moyo wangu ila ukianza omba omba ovyo inanifikirisha sana na kuanza kukuchukulia Kwa namna nyingine kabisa.
Siku akipata hela atakuja kujicheka sana na hiyo comment yake,Haujaipata pesa bado kijana...😎
Lol...Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela
1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!!
2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!!
View attachment 3078610
Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo.
View attachment 3078613
Dear baby, hela zangu zipo kwa ajili ya kesho yangu ila sio kukuhonga wewe..!!!
I save for my business and not for the Blow J service you provide...!!!
I save for my future and not for pus*y service you provide...!!!
UZI TAYARI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Panda huku up mazee...😋niko huku down town 😃😃
Na nyie mnaomba nini jirani matumizi tuombe baba zetu tamu mle nyie?? Haiwezekani hiyoKwani unauza nini jirani...?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Fanyeni kazi ile ni starehe 🙌🙌🙌🙌Na nyie mnaomba nini jirani matumizi tuombe baba zetu tamu mle nyie?? Haiwezekani hiyo
😂 huwa nasema hafadhali vijana waendele hivihivi kwani ni fursa kwetu wazeeHilo ni shambulio kwa wanawake 😹😹
Sio kwenye mapenzi kua kama makondoooMwanaume kuwa na msimamo/misimamo ni jambo la muhimu.
Bahati mbaya ni watu wachache sana hapa duniani wana misimamo yao isiyo yumbishwa na chochote na yoyote.
Kama ni starehe mkafanye na dada zenu na mama zenu,Fanyeni kazi ile ni starehe 🙌🙌🙌🙌
😃😃😃🔋 Charge full😂 huwa nasema hafadhali vijana waendele hivihivi kwani ni fursa kwetu wazee
wazee ni kushika mkono tuh😃😃😃🔋 Charge full