Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Hii umeiweka kiheshima huu uzi hautaki hiyo heshima!

Uzi unataka kula k na kuacha, kuoa walishajisema hawaoi sasa ukifika kwa mwenye utelezi kumuomba kuteleza nae ana halali ya kuomba pesa km mbadilishano wa bidhaa, wasitupigie kelele
 
Kwahiyo mleta mada kapigwa ban šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

Daah aisee ila jeiefu bwanhaaa
 
Mimi sipendi kuombwa..ila napenda nitoe mwenyewe..kila baada ya two week lazima nifanye muamala..sio vibaya mkaniona fala,nampenda na nitamsaidia hapa na pale..
 
Mimi sipendi kuombwa..ila napenda nitoe mwenyewe..kila baada ya two week lazima nifanye muamala..sio vibaya mkaniona fala,nampenda na nitamsaidia hapa na pale..
Napenda mwanaume anayejiongeza sio kusubiria kuombwa.Hapo ndipo my hubby aliponiwin
 
Shida ya hawa viumbe siku ukikosa pesa na mapenzi yameisha na Mimi ndio nilivyo mkuu pesa nitakupa Mimi sio nimekutongoza unaanza mara bay simu yangu imemezwa na mbwa mara baby sijala ziku zote ulikuwa unakula wap sasa mpe hio pesa sasa siku ukikutana nae nae kwenye kitanda utajuta na hautarudia tena
 
nataman atokee mwanamke hapa alieolewa atupe ushuhuda kama bdo mumewe huwa anampatia pesa kama kipnd kile walipokua ktk mahusiano..kuna jambo nataka tujifunze kidogo
Nipo mkuu
 
Huwajui wanawake wa sikuhizi,wanamabwana kila mtaa na wote anaomba hela nawote anatoa utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…