genius_
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 474
- 1,237
sawa mkuu..tumemalizašMada imekaa kikuuziana hii anzisha mada nyingine km una lengo jema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuu..tumemalizašMada imekaa kikuuziana hii anzisha mada nyingine km una lengo jema
Hii umeiweka kiheshima huu uzi hautaki hiyo heshima!umejibu vyema, nilichotaka ni ww ufahamu kwamba kupewa pesa na "mumeo" ni jambo zuri na la kupendeza ila kupewa pesa na mwanaume ambaye sio mumeo ili kukushawishi kupata utelezi ni jambo baya na la kukemewa..
NB:mwanaume epuka kumpa pesa mwanamke ambaye mpo ktk mahusiano(sio mke wako) kwan hapo mtakua mnauziana na si kupeana kwa upendo
Hata hivyo nimechoka kukaa hapa tafuta mada nyingine uniitesawa mkuu..tumemalizaš
ntakuita mkuu.. huna bayaHata hivyo nimechoka kukaa hapa tafuta mada nyingine uniite
Ukipewa hela una feel vipi.??..kupendwa?Halafu wenzake wanamsupport! Najiuliza hawa wanaotupa hela ni wanaume wanatoka Kenya au Uganda?š¤
Napenda mwanaume anayejiongeza sio kusubiria kuombwa.Hapo ndipo my hubby aliponiwinMimi sipendi kuombwa..ila napenda nitoe mwenyewe..kila baada ya two week lazima nifanye muamala..sio vibaya mkaniona fala,nampenda na nitamsaidia hapa na pale..
Kama wewe unamuona bidhaa ya matumizi kuna ubaya na yeye akikuona ATMHakuna jambo linakera kama hawa nguchiro kuhisi kupewa pesa ni haki yao.
Yani jitu linajiwekea kuwa ni lazima ulipe hela likitaka.
Nipo mkuunataman atokee mwanamke hapa alieolewa atupe ushuhuda kama bdo mumewe huwa anampatia pesa kama kipnd kile walipokua ktk mahusiano..kuna jambo nataka tujifunze kidogo
Mbona povuKajitombe bro
Malaaaaaaa...Achana na wanawake kabisa
Huwajui wanawake wa sikuhizi,wanamabwana kila mtaa na wote anaomba hela nawote anatoa utamu.Ni vizuri kua na akiba na ku dave pesa lakini pia sio sifa kumnyima mwanamke ambae ni mpenzi wako pesa na una future nae na anakupa huduma mbalimbali ikiwemo sex sasa ukiwa kama mtu mzima wakati mwingine jiongeze sio kumnyima nyima kila wakati kwasababu na yeye ana mahitaji yake akiwa kama binti na mengine hawezi kukwambia direct kwaio uwe unajitahidi kuelewa uwe unampa japo sio kila wakati angalau na yeye anunue Sabuni ya kuogea akitoa kukupa izo huduma yapo mengi ila naishia hapo.
MalaaaaaayHela huna utatoa nini? lazima uwe hivyo.
Minaona huna pesa tu mkuu, 30k sio ya kumnyima mwanamke mazee...