Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

umejibu vyema, nilichotaka ni ww ufahamu kwamba kupewa pesa na "mumeo" ni jambo zuri na la kupendeza ila kupewa pesa na mwanaume ambaye sio mumeo ili kukushawishi kupata utelezi ni jambo baya na la kukemewa..

NB:mwanaume epuka kumpa pesa mwanamke ambaye mpo ktk mahusiano(sio mke wako) kwan hapo mtakua mnauziana na si kupeana kwa upendo
Hii umeiweka kiheshima huu uzi hautaki hiyo heshima!

Uzi unataka kula k na kuacha, kuoa walishajisema hawaoi sasa ukifika kwa mwenye utelezi kumuomba kuteleza nae ana halali ya kuomba pesa km mbadilishano wa bidhaa, wasitupigie kelele
 
Kwahiyo mleta mada kapigwa ban šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

Daah aisee ila jeiefu bwanhaaa
 
Mimi sipendi kuombwa..ila napenda nitoe mwenyewe..kila baada ya two week lazima nifanye muamala..sio vibaya mkaniona fala,nampenda na nitamsaidia hapa na pale..
 
Mimi sipendi kuombwa..ila napenda nitoe mwenyewe..kila baada ya two week lazima nifanye muamala..sio vibaya mkaniona fala,nampenda na nitamsaidia hapa na pale..
Napenda mwanaume anayejiongeza sio kusubiria kuombwa.Hapo ndipo my hubby aliponiwin
 
Shida ya hawa viumbe siku ukikosa pesa na mapenzi yameisha na Mimi ndio nilivyo mkuu pesa nitakupa Mimi sio nimekutongoza unaanza mara bay simu yangu imemezwa na mbwa mara baby sijala ziku zote ulikuwa unakula wap sasa mpe hio pesa sasa siku ukikutana nae nae kwenye kitanda utajuta na hautarudia tena
 
nataman atokee mwanamke hapa alieolewa atupe ushuhuda kama bdo mumewe huwa anampatia pesa kama kipnd kile walipokua ktk mahusiano..kuna jambo nataka tujifunze kidogo
Nipo mkuu
 
Ni vizuri kua na akiba na ku dave pesa lakini pia sio sifa kumnyima mwanamke ambae ni mpenzi wako pesa na una future nae na anakupa huduma mbalimbali ikiwemo sex sasa ukiwa kama mtu mzima wakati mwingine jiongeze sio kumnyima nyima kila wakati kwasababu na yeye ana mahitaji yake akiwa kama binti na mengine hawezi kukwambia direct kwaio uwe unajitahidi kuelewa uwe unampa japo sio kila wakati angalau na yeye anunue Sabuni ya kuogea akitoa kukupa izo huduma yapo mengi ila naishia hapo.
Huwajui wanawake wa sikuhizi,wanamabwana kila mtaa na wote anaomba hela nawote anatoa utamu.
 

Attachments

  • Screenshot_20240826_185738_Google.jpg
    Screenshot_20240826_185738_Google.jpg
    90.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom