Dear future husband ukiniabisha siku ya ndoa yetu kama hivi, sitaweza kukuvumilia

Mimi kwenye harusi yangu nilikiwasha kinoma,... Mpaka wageni waalikwa wakajua nimepiga pombe 😂😂.... Nilicheza kwelikweli,... Dancing ya uhakika😂😂😂
😂😂😂ulifunika kama huyo bwana harusi hapo kwenye video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…