Nimekumindi njoo
Member
- Aug 25, 2025
- 61
- 51
Kucheza kumeingiliwaπ€£π€£Dundo limepata muongoza step stejini.
Hahahahha
Moze Iyobo kashawahiwaUolewe na moze iyobo
Wewe unaimba singeli yeye anachezaπ€£π€£π€£
π€£π€£π€£We huoni miondoko hio?!Acha dharau
Hakika....πππ... Na mpaka Sasa tuko tunaishi wote... Na kanizalia watoto watatu...Utakua uliwashinda wengi kwenye competition ya kumuoa aisee.
Kuna siku huwa ni za muhimu sana kwa watu, ndiyo kama hivi.Kucheza kumeingiliwaπ€£π€£
Na sisi ndo tupoπ€£πMoze Iyobo kashawahiwa
πππππBibi harusi wa siku hizi wanaviherehere sana.
Sasa Mimi kucheza hivyo wewe inakuhusu nini. Niache nijiinjoy KWA utaratibu wanguπ
ππKwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hiviπ π π
View attachment 3455253