kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #81
🤣🤣🤣huyu mbona anaonekana kama bikra kabisa na hivyo vitu hajawahi kutumiaHakikisha hagusi kamnyweso kabisa🍺, huwa wanajidanganya kidogo ya kutolea aibu halafu wao ndiyo wanageuka kuwa hiyo aibu 🤣🚮
Kavuta nini?Jamaa aliingia kashavuta tayari
Sina wivuAcha wivu
Sasa mtu anarusha mikono kama vile watachezaje woteMwanamke ndiye ametia aibu, anatembea kama dudu washawasha
huyo dada ndo kazingua....ungekua wewe hapo ungeenda sambaba na babu harusiSina wivu
BangiKavuta nini?
Siyo kama furaha imemzidiaBangi
Inaonekana alipania sana ndoa huyu🤣🤣🤣
Sijioni kabisa nikioa kwa mashereheMnawaza sana harusi na ndoa sio kipaumbele chenu ndio maana kauli kama hizi zinaonekana kawaida
Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
View attachment 3455253
Kabisa kabisa lazima ufurahie kuchukua jiko. Mie najiulizaga sasa watu wanajizuiaje kudindisha siku ya harusi maana mie akili zangu zitakuwa kwenye kuwaza jinsi kibamia kitakavyo enda tema tui la naziHuyo mwamba nimemkubali unatakiwa uwe unique,Mimi nikioa nitaingia na singeli full kukichafua.
😂😂😂Kabisa kabisa lazima ufurahie kuchukua jiko. Mie najiulizaga sasa watu wanajizuiaje kudindisha siku ya harusi maana mie akili zangu zitakuwa kwenye kuwaza jinsi kibamia kitakavyo enda tema tui la nazi