Dear Men....

Wewe najua 50-50 huna. Kila mmoja akiplay part yake hakutakua na kutaka nusu kwa nusu. Mwanaume aplay part yake kama mwanaume na mwanamke vilevile
 
Najua money is not everything ila unasaidia kiasi gani? Money haifanyi mwanamke akapata orgasm au akawa na furaha kwenye relationship ila kama the love is real ukiweka kahela kidogo tu unamarinate relationship yako
Sihida ni mawazo yako ya kimasikini na utegemezi don't you there many women helping/support their husbands/men/partners financially??

Umaskini wako usitutengenezee fallacy mawazo yako ni ya wadangaji (tax collector women)
 
Hukupendwa. Katafute unapoafford kukaa bila pesa [emoji23][emoji23]
Haa haa haa na nlipata get kali
Kuzur na kutamu sana aiseeee natoa
Pesa mweyewe co wakina nyingi miznga
Kila Friday[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sihida ni mawazo yako ya kimasikini na utegemezi don't you there many women helping/support their husbands/men/partners financially??

Umaskini wako usitutengenezee fallacy mawazo yako ni ya wadangaji (tax collector women)
Kwahiyo kama nakusupport ndo utegeshe kengele zako usinijue kwa lolote ila kitandani tu? Acha niwe maskini na tegemezi ila maandiko yalituasa mwanaume atafute kwa jasho na mwanamke azae kwa uchungu. Kwa kutaka kusaidiwa kwenu ipo siku mtaomba mlipiwe mahari muolewe. Kama ulilipa mahari kuoa ujue na majukumu mengine ni yako mkeo akifanya anakusaidia ila sio jukumu lake kulisha familia we baba umeweka mbupu tu
 
Haa haa haa na nlipata get kali
Kuzur na kutamu sana aiseeee natoa
Pesa mweyewe co wakina nyingi miznga
Kila Friday[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo ndipo kwenye lane yako kwingine ulikua unataka makubwa wakati uwezo mdogo
 
Acha tabia za kimaskini wanawake wenzio walishainuka zamani ata wanaume sasa hivi tunahitaji wanawake wenye power ya economy kuliko chura!

Mtazalishwa mno kwa kujidai na chura zenu uchwara..! Naturally men we created to care our family in our presence but if we are not there for any reason??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…