LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
mashemeji????Mashemeji zako wote wamesimama wanapostahili maana sina invoice za wao wanishindwe.
u a HOE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mashemeji????Mashemeji zako wote wamesimama wanapostahili maana sina invoice za wao wanishindwe.
Wewe najua 50-50 huna. Kila mmoja akiplay part yake hakutakua na kutaka nusu kwa nusu. Mwanaume aplay part yake kama mwanaume na mwanamke vilevileHa ha ha, sina hizo mambo.
Shida yangu kila mmoja a-play part inayomhusu.
Bahati mbaya sana tuko kwenye era ambayo kila upande haujui nini unakihitaji kwenye mahusiano.
Unaweza kuta mtu anaamua kuzingua tu kwa sababu zisizoeleweka pamoja na kwamba yuko kwenye mahusiano ambayo anapata 80% ya anachohitaji.
Okey dia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naenda mama
Sihida ni mawazo yako ya kimasikini na utegemezi don't you there many women helping/support their husbands/men/partners financially??Najua money is not everything ila unasaidia kiasi gani? Money haifanyi mwanamke akapata orgasm au akawa na furaha kwenye relationship ila kama the love is real ukiweka kahela kidogo tu unamarinate relationship yako
Haa haa haa na nlipata get kaliHukupendwa. Katafute unapoafford kukaa bila pesa [emoji23][emoji23]
Wewe najua 50-50 huna. Kila mmoja akiplay part yake hakutakua na kutaka nusu kwa nusu. Mwanaume aplay part yake kama mwanaume na mwanamke vilevile
Kwahiyo kama nakusupport ndo utegeshe kengele zako usinijue kwa lolote ila kitandani tu? Acha niwe maskini na tegemezi ila maandiko yalituasa mwanaume atafute kwa jasho na mwanamke azae kwa uchungu. Kwa kutaka kusaidiwa kwenu ipo siku mtaomba mlipiwe mahari muolewe. Kama ulilipa mahari kuoa ujue na majukumu mengine ni yako mkeo akifanya anakusaidia ila sio jukumu lake kulisha familia we baba umeweka mbupu tuSihida ni mawazo yako ya kimasikini na utegemezi don't you there many women helping/support their husbands/men/partners financially??
Umaskini wako usitutengenezee fallacy mawazo yako ni ya wadangaji (tax collector women)
Nimefurahi kusikia hilo my dada, karibu kwenye uzi wa kuafodiana natumaini dirty head anakuafodi vyema[emoji40] (joke)nipo my kaka, jaman na hii baridi huwa nachelewa kutoka home ndo sababu
Bora aliamua kua mkweliNlishaambiwa kama huna pesa
Huna msaada wowote kwang
Acha tabia za kimaskini wanawake wenzio walishainuka zamani ata wanaume sasa hivi tunahitaji wanawake wenye power ya economy kuliko chura!Kwahiyo kama nakusupport ndo utegeshe kengele zako usinijue kwa lolote ila kitandani tu? Acha niwe maskini na tegemezi ila maandiko yalituasa mwanaume atafute kwa jasho na mwanamke azae kwa uchungu. Kwa kutaka kusaidiwa kwenu ipo siku mtaomba mlipiwe mahari muolewe. Kama ulilipa mahari kuoa ujue na majukumu mengine ni yako mkeo akifanya anakusaidia ila sio jukumu lake kulisha familia we baba umeweka mbupu tu
Women deserve no mercy ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]