"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

Ni kweli for sure utegemezi dada zangu wa Jf mjifunze kiukweli kabisa ukionyesha tu dependency kwa Mwanaume first date!Hata kama alikuwa na nia na wewe atakutimizia na kukugegeda na kisha kusepa...Amin usiamini!Na nadhan hii inatokana na kukataa tamaa kuwa kila mwanaume atamgegeda na kusepa !sasa solution ni kujiheshimu my dadaz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nyamayao wakati umekwenda wapi??????
but hata kama nikiwa na pesa yangu kwenye pochi
napenda kuona mwanaume akifungua waleti yake
kwa ajili yangu pia, ha ha ha ha ha haaaaaaaa.

 
Last edited by a moderator:
 

Mkuu mie sitoe viburungutu kuhonga ...........................!:nono:
Viburungutu nampa wife pekee .................................!:rockon:
Maana yeye ndio wa thamani kwangu hao wengine ni kupiga starehe kimtindo na kumtoa kiaina ila viburungutu ni kwa wife tu kama hivyo vilivyoko kwenye avatar yangu ..............!:bounce:
 
ha ha ha bahili.com elfu themanini anatoa thread akiombwa laki 5 huyu!!!!!

ndo nashangaa hata mimi nishajifunza huyu bado 80k anaanzisha thread...

"Women, cant live with them, cant live without them! "
 
Hadi unamfuata kumtongoza hukujua kuwa ni kinuka mkojo? Hukujua unafamilia? Maadam umeamua mwenyewe kumfuata lazima uhudumie meeen

Family focused(kutimiza mahitaji ya familia yake) + plus atleast kuwa good on bed
na si kuhonga vinuka mkojo
 
 
 
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "
wenzako tunatoa tu,maumivu baadaye.
 
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "

Mitusi yote hii umeombwa elfu 80 je ukiombwa gari kama mimi si utaenda kumtangaza ITV wewe.
 
Toa ujinga wako,mwanaume asifiwi kuonga
Unahonga wenzako tunakula mzigo sio mbaya hudumia sisi twala na siku zote mwanamke anayependa kuhongwa hajatulia na wala haridhiki na pesa hata umpe milion kumi kwa siku lazima atakua na mwingine anaempa elf kumi, na wengine wakihongwa nao wanahonga
 
 
 
 
unajua jeneke mm ninacho shangaa kuwa inatokea jina langu kama vile nimeandika mm lakini si mm , ndiyo maana nami nikajibu, lakini kama si wewe naomba unisamehe. Lakini ngoja nimuandikie Invisible aangalie kuwa ni nn kinaendelea kwa nini jina langu linatokea kama vile ni mm nimeandika wakati kaandika baba Tina.
 
Kwi kwi kwi mzee wa kucheza peku na kukimbia mimba....kama ishu ndogo ya mimba umeikimbia itakua kuoa? Eti tunaoaga...waache responsible and mature men wazungumze

Ha ha ha ha ha ha!! mbona unakuwa kama mshamba ndugu yangu?? wewe una uhakika gani kama nilichoandika pale kinanihusu mimi?? Duh wabongo bwana.....naona imekuuuma sana.....by the way,hii ni mada nyingine mkuu....na unakosea kuamini kila kitu anachokiandika mtu hapa jamiiforums kimemkuta au kinamhusu moja kwa moja.....

Anyway.......kwa faida yako na wenzako wenye mawazo kama yako,ile issue kule hainihusu....kuna mtu alihitaji ushauri wangu.....ikabidi nije kupata mawazo ya wadau huku kwanza....

Siku nyingine usicganganye threads,......sawa....??

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…