Inaonekana mkeo, mama yako mzazi, na dada zako ndiyo wanatoa hiyo shombo ya samaki, halafu inaonyesha wewe pia unanuka na mshamba hujui kitu. na unaonyesha jinsi gani ulivyomjinga na uelewa wako ulivyo mdongo.
Teh teh..ukiona mtu kafyumu kiasi hiki baada ya kutuma msg a.k.a Kombora ni dhairi shairi kwamba Ujumbe wako aidha umemuuma ama umeutua pahala pake...tehe tehetehehehehehehe!!!!
I lavyu sana Mama Tina...kwa kuwa wewe ni mfano wa kuigwa hususani katika masuala ya usafi...teheteheheee...hata sioni kinyaaa kuzamia panapozamiwa...teheeteheeee...asante mama kwa kuwa wewe ni mrembo mpaka baba huwa nakukubali sana na kila mara ananiambia niwe na mke anayefanana na wewe, oh..kwa bahati mbaya dada sina ila ningekuwa nao...ningewapa makavu live pia.....
Ujinga upo mwingi sana hata hule wa kutumia pafyumu ya 80 na kuendelea ili kuondoa shombo ni ujinga pia ambao unahitaji kuelimishwa......na huo uelewa mdogo ndio ulionifanya nitafakari nikajiuliza kwanini tunatumia pafyum!!?? Je ni urembo!?? ama nia ni kuondoa Harufu kali ya kwapaz....na zile harufu za kule kwingine!!??? Bado uelewa wangu ni mdogo kweli!!?? teheteheteehhhheeeee