Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo.

Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu.

Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda na Nyani Ngabu.

Tunaangazia suala la mzozo kati ya Hamas na Israel. Nataka msemaji wa kwanza kutoa maoni yake.

NB: twende kwa hoja si kejeli, pia ukiuliza subiri jibu la wenzio akishindwa aseme.
 
Halafu umetukosea sana kutushindanishia ukhy Faiza na huyo mbeba mabox...
 
Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo.

Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu.

Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda na Nyani Ngabu .

Tunaangazia suala la mzozo kati ya Hamas na Israel. Nataka msemaji wa kwanza kutoa maoni yake

Nb twende kwa hoja si kejeli, pia ukiuliza subiri jibu la wenzio akishindwa aseme
Nitakuwa upande wa FaizaFoxy
Screenshot_2024-01-21-15-12-39-56_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-01-21-15-16-13-75_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Unaongeleaje vita mtandaoni wakati wanaume wapo site msituni wakizichapa?. Nenda kamsaidie mmojawapo unaempenda
 
YANI WEWE UMEKOSEA SANA KWENYE MDAHALO UNGEWAWEKA MK254 na Alwaz Hawajamaa Ni Balaa Kwenye Mgogolo WA Israel Na Hamas akiwemo Ritz
Halafu umetukosea sana kutushindanishia ukhy Faiza na huyo mbeba mabox...
Sijakosea tulieni twende na mara faiza alisema

Nataka ni debate nae katika topic yeyote ile, wakati wowote ule, kwa lugha yoyote ile na kwa masharti yeyote yale. Hii si mara ya kwanza mi kuyasema haya, na yeye anajuwa.

Reply number 178

Wamekupa ruhusa?
 
Swali la kwanza kwa wote,nani alianzisha hii vita?,pili kulikua na mazungumzo kati ya Hamas na Israel kipindi hicho cha mwanzo wa vita pale 🇦🇪, nani alisaliti mazungumzo yale?,tatu nini maoni yao ya kuwa na 2 states zitakazoishi in harmony?
 
Mi nafikiri kuijadili Hamas kutamfanya anaeitetea kukosa point za msingi cos Hamas imeanzishwa mwaka 1988 tu hapa na inaanzishwa huku unakuta vita ipo.
Hapa mjadala uwe Palestina Vs Israel.
 
Back
Top Bottom