Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

Haya,
FaizaFoxy ameshaanza, mbona husemi ngabu amekimbia? Nilikiambia toka mwanzo kua ukiwa mwendesha mjadala hutakiwi kua na upande.
Unakaujinga deadline ya mdahalo ilikuwa jpili huenda hata kusoma thread hukusoma umekurupuka.
 
Mimi nipo ready. Nianze?

Naanza, Hamas walishinda vita wiki ya kwanza tu na uzi niliandika, hilo anae challenge yeyote aje, iwe nyani au tumbiri, "I care the less.
Mimi SINA cha kusema labda kama kuna waamuzi wengine maana deadline ilikuwa 28/01/2023 rejea maelezo ya deadline kwenye post numba 1

Nachojifunza ni kuzingatia kile nachosema au unachosema ukijia watu wanakuelewa kwa namba ipi.

Kama Nyani Ngabu atakuja basi nyie endeleeni watajaji wengine kwa case yangu nimemaliza
 
Back
Top Bottom