Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao huwaga smart saa zote - ni kuklik tu. 😁 Sasa hapa nashangaa kwenye hii wame-Mute.Hamkuwaanda?
Kuandaliwa Vipi Faizan alitaka bato kwa muda wowote saa yoyote na siku yoyote , hapa natarajia awe wa Kwanza maana mwenzie Yuko na Konda boy, akiona atakujaHamkuwaanda?
muache ukhty wetu, apumzike ajenge familia bora ya kiislamPamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo.
Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu.
Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda na Nyani Ngabu .
Tunaangazia suala la mzozo kati ya Hamas na Israel. Nataka msemaji wa kwanza kutoa maoni yake
Nb twende kwa hoja si kejeli, pia ukiuliza subiri jibu la wenzio akishindwa aseme
Kwani Nyani Ngabu ye ametokea? Unaonyesha tayari unao upande wako, hukufaa kuendesha huu mdahaloCase closed, kombe linarndea kushikwa na Nyani Ngabu baada ya FaizaFoxy kuomba pambano na kutokuwa wa Kwanza kuonyesha ushirirkiano.
Inaonyesha FaizaFoxy hana ubavu!
Kwani wa Kwanza kuomba bato ni Nani ?Kwani Nyani Ngabu ye ametokea? Unaonyesha tayari unao upande wako, hukufaa kuendesha huu mdahalo
Mjinga mwenyewe pumbavu mkubwa wewe,Kwani wa Kwanza kuomba bato ni Nani ?
Kama angekuwa likizo anesema siku hiyo alikiwa online insmana hajaona notification?
Na hii ndo deadline?
Unataka kusema hawapo online wakati nyuzi zingine wanacomment?
Wewe ni mjinga fuatilia nyuzi zao kwani ngabu aliomba bato?
Faiza aliomba bato liamdiwe kati Yake na ngabu lakini yeye ndiye aliyetakiwa kuwa wa Kwanza kuja hapa ila mpaka sasa hajaonekana na hawa walishashindanushwa hapo kale ngabu akashinda, sasa kama ni mkanda wa ngumi Nani anaendelea kuushika?
Ipo hapo au bado ipo mbele ya treni?, pole 😀😀
Hapo ulipo wewe kuna umeme?Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo.
Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu.
Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda na Nyani Ngabu .
Tunaangazia suala la mzozo kati ya Hamas na Israel. Nataka msemaji wa kwanza kutoa maoni yake
Nb twende kwa hoja si kejeli, pia ukiuliza subiri jibu la wenzio akishindwa aseme
Pole muda wowote!, uharifiwe nini? Ulisema muda wowote manake iko tayari wakati inasema hukujua kuwa Una kazi ,Pole bato is overMjinga mwenyewe pumbavu mkubwa wewe,
ulimtaarifu kabla FaizaFoxy kwamba utafanya debate leo na muda fulan na akakukubalia?
Au unadhani humu wote ni ma jobless kama wewe kula Kwa shemeji, hawana kazi ingine, wanashinda JF toka asubuhi?
NaamHapo ulipo wewe kuna umeme?
Nilikua sijaona hii, nipo hapa. Ilikua iw lini. Mbona nipo ready kwa hili anytime. Ngoja nikasome huko.Mjinga mwenyewe pumbavu mkubwa wewe,
ulimtaarifu kabla FaizaFoxy kwamba utafanya debate leo na muda fulan na akakukubalia?
Au unadhani humu wote ni ma jobless kama wewe kula Kwa shemeji, hawana kazi ingine, wanashinda JF toka asubuhi?
Mimi nipo ready. Nianze?Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo.
Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu.
Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda na Nyani Ngabu .
Tunaangazia suala la mzozo kati ya Hamas na Israel. Nataka msemaji wa kwanza kutoa maoni yake
Nb twende kwa hoja si kejeli, pia ukiuliza subiri jibu la wenzio akishindwa aseme
Haya,Pole muda wowote!, uharifiwe nini? Ulisema muda wowote manake iko tayari wakati inasema hukujua kuwa Una kazi ,Pole bato is over