Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

Hamkuwaanda?
Kuandaliwa Vipi Faizan alitaka bato kwa muda wowote saa yoyote na siku yoyote , hapa natarajia awe wa Kwanza maana mwenzie Yuko na Konda boy, akiona atakuja
 
muache ukhty wetu, apumzike ajenge familia bora ya kiislam
 
Kwani Nyani Ngabu ye ametokea? Unaonyesha tayari unao upande wako, hukufaa kuendesha huu mdahalo
Kwani wa Kwanza kuomba bato ni Nani ?

Kama angekuwa likizo anesema siku hiyo alikiwa online insmana hajaona notification?

Na hii ndo deadline?

Unataka kusema hawapo online wakati nyuzi zingine wanacomment?

Wewe ni mjinga fuatilia nyuzi zao kwani ngabu aliomba bato?

Faiza aliomba bato liamdiwe kati Yake na ngabu lakini yeye ndiye aliyetakiwa kuwa wa Kwanza kuja hapa ila mpaka sasa hajaonekana na hawa walishashindanushwa hapo kale ngabu akashinda, sasa kama ni mkanda wa ngumi Nani anaendelea kuushika?

Ipo hapo au bado ipo mbele ya treni?, pole 😀😀
 
Mjinga mwenyewe pumbavu mkubwa wewe,
ulimtaarifu kabla FaizaFoxy kwamba utafanya debate leo na muda fulan na akakukubalia?

Au unadhani humu wote ni ma jobless kama wewe kula Kwa shemeji, hawana kazi ingine, wanashinda JF toka asubuhi?
 
Hapo ulipo wewe kuna umeme?
 
Mjinga mwenyewe pumbavu mkubwa wewe,
ulimtaarifu kabla FaizaFoxy kwamba utafanya debate leo na muda fulan na akakukubalia?

Au unadhani humu wote ni ma jobless kama wewe kula Kwa shemeji, hawana kazi ingine, wanashinda JF toka asubuhi?
Pole muda wowote!, uharifiwe nini? Ulisema muda wowote manake iko tayari wakati inasema hukujua kuwa Una kazi ,Pole bato is over
 
Nilikua sijaona hii, nipo hapa. Ilikua iw lini. Mbona nipo ready kwa hili anytime. Ngoja nikasome huko.

Ahsante sana kwa kuniita na kumpasha huyo poyoyo.
 
Mimi nipo ready. Nianze?

Naanza, Hamas walishinda vita wiki ya kwanza tu na uzi niliandika, hilo anae challenge yeyote aje, iwe nyani au tumbiri, "I care the less.
 
Pole muda wowote!, uharifiwe nini? Ulisema muda wowote manake iko tayari wakati inasema hukujua kuwa Una kazi ,Pole bato is over
Haya,
FaizaFoxy ameshaanza, mbona husemi ngabu amekimbia? Nilikiambia toka mwanzo kua ukiwa mwendesha mjadala hutakiwi kua na upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…