O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Jan 29, 2024 Thread starter #41 Shakir said: Haya, FaizaFoxy ameshaanza, mbona husemi ngabu amekimbia? Nilikiambia toka mwanzo kua ukiwa mwendesha mjadala hutakiwi kua na upande. Click to expand... Unakaujinga deadline ya mdahalo ilikuwa jpili huenda hata kusoma thread hukusoma umekurupuka.
Shakir said: Haya, FaizaFoxy ameshaanza, mbona husemi ngabu amekimbia? Nilikiambia toka mwanzo kua ukiwa mwendesha mjadala hutakiwi kua na upande. Click to expand... Unakaujinga deadline ya mdahalo ilikuwa jpili huenda hata kusoma thread hukusoma umekurupuka.
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,531 Reaction score 2,140 Jan 29, 2024 Thread starter #42 FaizaFoxy said: Mimi nipo ready. Nianze? Naanza, Hamas walishinda vita wiki ya kwanza tu na uzi niliandika, hilo anae challenge yeyote aje, iwe nyani au tumbiri, "I care the less. Click to expand... Mimi SINA cha kusema labda kama kuna waamuzi wengine maana deadline ilikuwa 28/01/2023 rejea maelezo ya deadline kwenye post numba 1 Nachojifunza ni kuzingatia kile nachosema au unachosema ukijia watu wanakuelewa kwa namba ipi. Kama Nyani Ngabu atakuja basi nyie endeleeni watajaji wengine kwa case yangu nimemaliza
FaizaFoxy said: Mimi nipo ready. Nianze? Naanza, Hamas walishinda vita wiki ya kwanza tu na uzi niliandika, hilo anae challenge yeyote aje, iwe nyani au tumbiri, "I care the less. Click to expand... Mimi SINA cha kusema labda kama kuna waamuzi wengine maana deadline ilikuwa 28/01/2023 rejea maelezo ya deadline kwenye post numba 1 Nachojifunza ni kuzingatia kile nachosema au unachosema ukijia watu wanakuelewa kwa namba ipi. Kama Nyani Ngabu atakuja basi nyie endeleeni watajaji wengine kwa case yangu nimemaliza