Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

kadakayinyanimakonda-jpeg.2876971


Sela se prodwit
 
I think you should declare that you have joined chadema first before asking to debate him. Yeye ametaka mdahalo na chadema, wewe unajipendekeza kudebate naye, who are you in chadema? Are you one of the nyumbus?
 
Huyu mleta mada angeita vyombo vya habari hata vile vya udaku vya youtube, tiktok, insta kueleza nia yake ya kutaka mdahalo na Makonda tumwone na tumjue badala ya kung’ang’ania humu JF eti yupo «verified». Amfuate basi kwa PM huyo aliyefanya hiyo verification amwambie nia yake ya kutaka mdahalo na Makonda. Siku za nyuma kidogo alianzisha mada eti anataka azichape live na Chalamila wakati hapohapo yeye hajulikani ni nani?
Mkuu usimkingie kifua Makonda, kama makonda yumo humu ajitokeze kwa anonymous identity, a confirm kushiriki mdahalo.

Pili, wewe kama mdau mfikishie ujumbe na mwaliko wa Nyani Ngabu.

Kuhusu kujulikana kwa Nyani Ngabu, bado anatumia haki yake ya JF ya anonymity kama wewe, Kiranga na mimi.
 
My big brother Nyani Ngabu, I have been a truly fan of yours for a long period of time.

I admit you have got a nice pen game, but that doesn't give you an assurance of being untouchable.

Even if am not in my peak, I can still defeat you in an open debate competition.

I mean no malice to nobody. Ushimen
 
Wewe ni uliyefeli kweli?naomba fuilure yako nimwingizie Makonda walah ataweuka
 
Hello Nyani. It's been a long time. I like this proposed debate
You need to get your bullshit detector calibrated. This is all just kindergarten playground bravado. His phony ass can’t get beyond the basics like what the heck is his real name?
 
Back
Top Bottom