Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Ni suala la muda tu ataanzisha mada anataka kupigana mieleka na Mama Samia huku akijificha nyuma ya ID feki.
 
Hahaaa.

Kwa mtaji huu hawezi kukupa nafasi.

Maana umekuwa ni kama mtu kaficha silaha ya hatari nyuma ya mgongo anataka kupigana nawe, hujui ana silaha gani.
🤣🤣🤣 Wewe Kiranga!
 
Makonda ana dili na masuala nyeti ya nchi wewe unakuja na utoto utoto wa " hip hop"

Mwenzako anafikiria kuchukua nchi wewe bado unawaza kuhusu hip hop?Halafu ndo unataka kudebate nae?.🤣🤣🤣🤣 utoto raha kweli

Makonda atakugaragaza vibaya mno mkuu..

Mwaka 2024 mtu anazungumza kuhusu hip hop?
Your mindset has stuck in the 90s thats why U think 2024 is 1994 or 1996.

Mkuu we are in 2024 not 1994. And I repeat! t
This is 2024 and not 1994.

Makonda humuwezi mkuu. Kua kwanza kifikra ndio ujaribu kutafuta debate na Makonda.
Acha ubaege
Nyani Ngabu ameelezea masuala.yote anaweza kudahalo na huyo bingwa wenu.

Wewe umeokota hip hop tu dah
 
Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
Ukweli ni kwamba Makonda hana uwezo wa kufanya debate na Tundu Lissu.

Hana uwezo wa kufanya debate na John Mnyika.

Hana uwezo wa kufanya debate na Freeman Mbowe.

Enter mbeba maboksi Nyani Ngabu. Hata mimi naweza kufanya mdahalo na Paul Makonda na kumgaragaza kabisa.

Vigezo na masharti yote ya mdahalo achague yeye.
 
Ukweli ni kwamba Makonda hana uwezo wa kufanya debate na Tundu Lissu.

Hana uwezo wa kufanya debate na John Mnyika.

Hana uwezo wa kufanya debate na Freeman Mbowe.

Enter mbeba maboksi Nyani Ngabu. Hata mimi naweza kufanya mdahalo na Paul Makonda na kumgaragaza kabisa.

Vigezo na masharti yote ya mdahalo achague yeye.
🆒
 
Mi simo mkuu maana hakawii kukwambia wewe ni hater. 🤣🤣🤣Ndio maana LIKUD alisema wamarekani weusi ni weupe mno kichwani na ukikaa nao kwa muda mrefu unakuwa mweupe kama wao. Great thinker kabisa Karne hii anazungumza kuhusu hip hop 🤣🤣🤣 halafu eti ndo anataka kuachadebate na Makonda🤣🤣🤣🤣
 
Mi simo mkuu maana hakawii kukwambia wewe ni hater. 🤣🤣🤣Ndio maana LIKUD alisema wamarekani weusi ni weupe mno kichwani na ukikaa nao kwa muda mrefu unakuwa mweupe kama wao. Great thinker kabisa Karne hii anazungumza kuhusu hip hop 🤣🤣🤣 halafu eti ndo anataka kudebate na Makonda🤣🤣🤣🤣
Acha ujinga, mleta mada hajingumzia hip hop kama nyumbu mlivyomuelewa. Yeye amesema anataka debate ya mada yoyote atakayochagua makonda hata yaani hata bashite akitaka mada ya hip hop yeye yupo tayari.
 
Paul Makonda Uwezo Mdogo Sana.

Hili Taifa linavituko,Chama tawala huyu ndio "Hazina "Yao.
 
Back
Top Bottom