Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Is Jersey in the houseee?Welcome to Jersey.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is Jersey in the houseee?Welcome to Jersey.
Nope.Is Jersey in the houseee?
🤣🤣🤣 Wewe Kiranga!Hahaaa.
Kwa mtaji huu hawezi kukupa nafasi.
Maana umekuwa ni kama mtu kaficha silaha ya hatari nyuma ya mgongo anataka kupigana nawe, hujui ana silaha gani.
Acha ubaegeMakonda ana dili na masuala nyeti ya nchi wewe unakuja na utoto utoto wa " hip hop"
Mwenzako anafikiria kuchukua nchi wewe bado unawaza kuhusu hip hop?Halafu ndo unataka kudebate nae?.🤣🤣🤣🤣 utoto raha kweli
Makonda atakugaragaza vibaya mno mkuu..
Mwaka 2024 mtu anazungumza kuhusu hip hop?
Your mindset has stuck in the 90s thats why U think 2024 is 1994 or 1996.
Mkuu we are in 2024 not 1994. And I repeat! t
This is 2024 and not 1994.
Makonda humuwezi mkuu. Kua kwanza kifikra ndio ujaribu kutafuta debate na Makonda.
🤣🤣🤣🆒All in all, mimi naona mnachangamsha baraza tu.
Makonda mwenyewe mmemtafuta au hajui hata kama mpo dunia hii?
Ukweli ni kwamba Makonda hana uwezo wa kufanya debate na Tundu Lissu.Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
🆒Ukweli ni kwamba Makonda hana uwezo wa kufanya debate na Tundu Lissu.
Hana uwezo wa kufanya debate na John Mnyika.
Hana uwezo wa kufanya debate na Freeman Mbowe.
Enter mbeba maboksi Nyani Ngabu. Hata mimi naweza kufanya mdahalo na Paul Makonda na kumgaragaza kabisa.
Vigezo na masharti yote ya mdahalo achague yeye.
Na bangi Walizokuwa wanavuta graveyard zimechangiaJamaa pamoja na kukaa mbele bado anaonekana mshamba na limbukeni nafikiri ni vya kuzaliwa. Anaonekana ana dharau, kejeli, kiburi cha kishamba.
Paul Makonda ni verified member hapa JF.Mnataka jina lake ili mumuue?
Mwambie badhite aje JG apige mdahalo na Ngabu.
Ngoja ajeSihitaji mazoezi yoyote yale ku debate na huyo ajuza pamoja na Bashite BBL.
I stay ready.
And if you stay ready you ain’t gotta get ready.
Mi simo mkuu maana hakawii kukwambia wewe ni hater. 🤣🤣🤣Ndio maana LIKUD alisema wamarekani weusi ni weupe mno kichwani na ukikaa nao kwa muda mrefu unakuwa mweupe kama wao. Great thinker kabisa Karne hii anazungumza kuhusu hip hop 🤣🤣🤣 halafu eti ndo anataka kuachadebate na Makonda🤣🤣🤣🤣
Innallah ma sabireen.Naam, umeniita? Tatizo nini?
Hana kimoja cha maana anachoweza ku debate na mimi huyo mbarikiwa.
NakaziaNaam, umeniita? Tatizo nini?
Hana kimoja cha maana anachoweza ku debate na mimi huyo mbarikiwa.
Acha ujinga, mleta mada hajingumzia hip hop kama nyumbu mlivyomuelewa. Yeye amesema anataka debate ya mada yoyote atakayochagua makonda hata yaani hata bashite akitaka mada ya hip hop yeye yupo tayari.Mi simo mkuu maana hakawii kukwambia wewe ni hater. 🤣🤣🤣Ndio maana LIKUD alisema wamarekani weusi ni weupe mno kichwani na ukikaa nao kwa muda mrefu unakuwa mweupe kama wao. Great thinker kabisa Karne hii anazungumza kuhusu hip hop 🤣🤣🤣 halafu eti ndo anataka kudebate na Makonda🤣🤣🤣🤣
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Hana kimoja cha maana anachoweza ku debate na mimi huyo mbarikiwa.
Paul Makonda ni verified member wa JF.Makonda mwenyewe mmemtafuta au hajui hata kama mpo dunia hii?