Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Fair enough.

Naitwa Nzagamba Migato na Bashite akishakubali challenge yangu nitawasilisha vitambulisho vyangu kwa moderator wa mdahalo.
 
Huyo jamaa hapo amezungumzia hip hop tu?amezungumzia vitu ving...ila wewe umeona hip hop tu[emoji1787]daah aisee sijui hiz bhang za miaka hii huwa mnachanganya na nini?
 
Hivi umeelewa hata kilichoandikwa na huyu mbeba boksi kweli?

Akili yako yooooote imeona hip hop tu hapo. Mbona kaelezea vyote kabisa na kampa Makonda uwanja mpana sana achague topic ya kudibetia

Yani unamuita Hii nyani nzee nzee mtoto hadi umwambie utoto raha? I bet We utakuwa mgeni JF
 

Mdahalo unafanyia JF na fake ID yako?


Uwe unaandika lugha moja iliyonyooka sio unarukaruka kama paka mgonjwa.

Kwanza inaonekana hata kupanga mawazo kwako ni mtihani kutwa kubeba misemo na kuchota misamiati kwenye kamusi kisha kuja kafanya matumizi yake hapa.

Huwezi kufanya mdahalo wowote baki na fake ID yako tu.
 
Reactions: 511
Misamiati gani niliyoichota kwenye kamusi?
 
Reactions: 511
Eti ni kweli covid vaccine ni "safe and effective" ila inaleta myocarditis?

Hahaha..Myocarditis atajulia wapi?

Effectiveness, Efficacy, Therapeutic index, toxicity,side effects and efficiency hana hajualo huyo.

Covid yenyewe tu labda ajue ni viral disease sio kingine.
 
Reactions: 511

Mdahalo huwezi.

Baki na American english yako na kuchota misamiati kuja kuonyesha umahiri wako kwa lugha ya kiingereza kumbe bure kabisa.


Tumia lugha moja kama ni bingwa( english).
 
Reactions: 511
Sukuma gang mtatoana macho
 
Reactions: 511
Mdahalo ungepangwa tatizo mkuu huna influence na umaarufu kama Paul Makonda !!
Hatuna shaka na uwezo wako ,
Makonda ana umaarufu gani hapa nchini?

Kwanza atwambie ni kwa sababu gani serikali ya USA hawamtaki nchini kwao?
 
Ana hukuwepo wewe. Si ajabu bado ulikuwa darasa la 6 🤣.

Faiza kanikuta humu JF……
Ulikuwa mwaka gani eti😂😂😂😂
Dah!
Dunia ina mambo hii

Si ajabu hata simu nilikuwa sina🤣🤣🤣


Kumbe huyu bibi naye aliwahi kuchakazwa na hoja🤣🤣🤣
 
Hizi shithole countries, eti SG wa political party analindwa na tiss kwa kutumia kodi yangu, hii ni craze
Angalia vizuri kwenye picha hapo kuna pia makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar ambaye ndiye yupo na hao usalama wa Taifa .hata hivyo tambua ya kuwa katibu mkuu wa CCM kihadhi huwezi ukamlinganisha na yule wa CHADEMA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…