Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #41
Ana hukuwepo wewe. Si ajabu bado ulikuwa darasa la 6 🤣.Hee
Hii ilikuwa lini?
Irudiwe
Faiza kanikuta humu JF……
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana hukuwepo wewe. Si ajabu bado ulikuwa darasa la 6 🤣.Hee
Hii ilikuwa lini?
Irudiwe
Fair enough.Mimi si agent, ila naona kama mtu asiyejulikana hata jina lake kwa uhakika kusema anataka mdahalo na mtu anayejulikana kuna mizani fulani ya kuweka mambo sawa inakuwa haijatimia.
Inabidi wote wawili wajulikane ili tuende kwenye mdahalo na level playing field.
Huyo jamaa hapo amezungumzia hip hop tu?amezungumzia vitu ving...ila wewe umeona hip hop tu[emoji1787]daah aisee sijui hiz bhang za miaka hii huwa mnachanganya na nini?Makonda ana dili na masuala nyeti ya nchi wewe unakuja na utoto utoto wa " hip hop"
Mwenzako anafikiria kuchukua nchi wewe bado unawaza kuhusu hip hop?Halafu ndo unataka kudebate nae?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utoto raha kweli
Makonda atakugaragaza vibaya mno mkuu..
Mwaka 2024 mtu anazungumza kuhusu hip hop?
Your mindset has stuck in the 90s thats why U think 2024 is 1994 or 1996.
Mkuu we are in 2024 not 1994. And I repeat! t
This is 2024 and not 1994.
Makonda humuwezi mkuu. Kua kwanza kifikra ndio ujaribu kutafuta debate na Makonda.
🤣Huyo jamaa hapo amezungumzia hip hop tu?amezungumzia vitu ving...ila wewe umeona hip hop tu[emoji1787]daah aisee sijui hiz bhang za miaka hii huwa mnachanganya na nini?
Hivi umeelewa hata kilichoandikwa na huyu mbeba boksi kweli?Makonda ana dili na masuala nyeti ya nchi wewe unakuja na utoto utoto wa " hip hop"
Mwenzako anafikiria kuchukua nchi wewe bado unawaza kuhusu hip hop?Halafu ndo unataka kudebate nae?.🤣🤣🤣🤣 utoto raha kweli
Makonda atakugaragaza vibaya mno mkuu..
Mwaka 2024 mtu anazungumza kuhusu hip hop?
Your mindset has stuck in the 90s thats why U think 2024 is 1994 or 1996.
Mkuu we are in 2024 not 1994. And I repeat! t
This is 2024 and not 1994.
Makonda humuwezi mkuu. Kua kwanza kifikra ndio ujaribu kutafuta debate na Makonda.
Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global geopolitics, Hamas-Israel war, inflation, recession, weight loss, bbl, 50 years of hip hop, elements of hip hop, Magufuli, Gwajima, n.k.
Mimi niko tayari kufanya mdahalo popote pale, muda wowote ule, kuhusu chochote kile.
I know for a fact I’ll wipe the floor with him.
So what’s up Bashite? Come debate me.
I know you are an empty suit. But since you seem to be so gung-ho about debates, let’s have one. Just me and you, Lincoln - Douglas type of debate.
Bring it Bashite. Just bring it.
When you lose
When you lose control, you lose balance. When you lose balance, you lose reason. When you lose reason, you lose logic. And when you lose logic, you basically lose your moral compass. Enter Paul Makonda or whatever his name is. He has lost all the above. An argument can be made he never had...www.jamiiforums.com
Misamiati gani niliyoichota kwenye kamusi?Mdahalo unafanyia JF na fake ID yako?
Uwe unaandika lugha moja iliyonyooka sio unarukaruka kama paka mgonjwa.
Kwanza inaonekana hata kupanga mawazo kwako ni mtihani kutwa kubeba misemo na kuchota misamiati kwenye kamusi kisha kuja kafanya matumizi yake hapa.
Huwezi kufanya mdahalo wowote baki na fake ID yako tu.
Eti ni kweli covid vaccine ni "safe and effective" ila inaleta myocarditis?
Hahaha..kitambo sana hii tafuta uzi wake uone mwenyeweHee
Hii ilikuwa lini?
Irudiwe
Mdahalo unafanyia JF na fake ID yako?
Uwe unaandika lugha moja iliyonyooka sio unarukaruka kama paka mgonjwa.
Kwanza inaonekana hata kupanga mawazo kwako ni mtihani kutwa kubeba misemo na kuchota misamiati kwenye kamusi kisha kuja kafanya matumizi yake hapa.
Huwezi kufanya mdahalo wowote baki na fake ID yako tu.
Hahahahahaha eti alikua darasa la 6 😅Ana hukuwepo wewe. Si ajabu bado ulikuwa darasa la 6 🤣.
Faiza kanikuta humu JF……
Kuonesha udhaifu wako umeanza kwa lugha ya dhihaka...Hatushindani ushawishi wala umaarufu.
Msianze kumpa visingizio.
Sukuma gang mtatoana machoPaul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global geopolitics, Hamas-Israel war, inflation, recession, weight loss, bbl, 50 years of hip hop, elements of hip hop, Magufuli, Gwajima, n.k.
Mimi niko tayari kufanya mdahalo popote pale, muda wowote ule, kuhusu chochote kile.
I know for a fact I’ll wipe the floor with him.
So what’s up Bashite? Come debate me.
I know you are an empty suit. But since you seem to be so gung-ho about debates, let’s have one. Just me and you, Lincoln - Douglas type of debate.
Bring it Bashite. Just bring it.
When you lose
When you lose control, you lose balance. When you lose balance, you lose reason. When you lose reason, you lose logic. And when you lose logic, you basically lose your moral compass. Enter Paul Makonda or whatever his name is. He has lost all the above. An argument can be made he never had...www.jamiiforums.com
Makonda ana umaarufu gani hapa nchini?Mdahalo ungepangwa tatizo mkuu huna influence na umaarufu kama Paul Makonda !!
Hatuna shaka na uwezo wako ,
Na alidondosha hadi machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naomba mwenye ile picha yake anaupokea upako kanisani muiweke hapa[emoji23]
Atamuita shosti wake SabayaSasa unamwalika kwa kutema yai wakati yeye hutema kusukusu atakuelewa kweli?
Labda mawakala wake wamtafsirie ndo atakuja [emoji23][emoji23]
Kumjua tu ni umaarufu tayari , kumbe hadi USA haimtaki aseee !!Makonda ana umaarufu gani hapa nchini?
Kwanza atwambie ni kwa sababu gani serikali ya USA hawamtaki nchini kwao?
Ulikuwa mwaka gani eti😂😂😂😂Ana hukuwepo wewe. Si ajabu bado ulikuwa darasa la 6 🤣.
Faiza kanikuta humu JF……
Angalia vizuri kwenye picha hapo kuna pia makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar ambaye ndiye yupo na hao usalama wa Taifa .hata hivyo tambua ya kuwa katibu mkuu wa CCM kihadhi huwezi ukamlinganisha na yule wa CHADEMA .Hizi shithole countries, eti SG wa political party analindwa na tiss kwa kutumia kodi yangu, hii ni craze