Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Sasa Bro. Unakuwaje mwanasiasa wa mwaka 2024 ikiwa hujui hip hop ni nini ilitokea wapi kwanini na inaenda wapi

Achana na huko mbelembele kwa kina Senti Hamsini ivi leo hii umesahau Nay wa Mitego amefungiwa mziki mara kadhaa

Roma mkatoliki yuko wapi sasa unaachaje kujua hayo na content zake ili uweze kupambanua mambo kadha yaliyojiri katika medani za siasa kwa kuhusiana na muziki wa Hip Hop

We Zombi kweli hapo umejiona umeuwa kumbe umekufa mwenyewe inawezekanaje mwansiasa wa 2024 hujui historia na athari ya Hip Hop pumbavu kabisa

Yani nisawa na mwana sheria asiye jua historia ya ulimwengu

Mijitu mingine bogus kabisa
 
Why are you attacking hip hop?!. Kwa nini hamuwezi kujiweka mbali na mziki ambao haujawachagua?!Kama ushamba unao ni wako!.
 
Nyamitako Bashite ni mwingi wa hoja na mjuzi wa kubwata.

Atazipangua hoja zako hautaaminii utabaki mdomo wazi .
 
Utoto unao wewe nyinyi ndio uhalisia wa Lumumba buku 7
 
Don't waste your intelligence
 
Hatushindani ushawishi wala umaarufu.
Msianze kumpa visingizio.
Kwanza umejificha.
Pili ni nani wewe?
Tatu umetoka wapi aubkutumwa nani na kwa sababu zipi?

Huna influence yoyote labda hapa JF otherwise pale kwenye nyumba unayoishi tu na yawezekana in your door room 🤓!.
 
Kumbe nyote ni form too failure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…