Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Huyo jamaa hapo amezungumzia hip hop tu?amezungumzia vitu ving...ila wewe umeona hip hop tu[emoji1787]daah aisee sijui hiz bhang za miaka hii huwa mnachanganya na nini?
Na mbolea😂😂😂
 
Reactions: 511
Huna hadhi y kufanya mdahalo na Makonda, upo poor sana!! Makonda hadhi yake ni ya kuongea na akina Kinana, Nape, Piga box tu chief, usitafute umaarufu, huwezi hata kuosha viatu vya Makonda
 
Kwa Makonda ni mbali sana. Wewe anza hapa JF na Lucas mwashambwa au Magonjwa Mtambuka. Ukiwaweza hao utafanya debate na USSR
 
Wewe sema una chuki tu, kataja vitu kibao ikiwemo na hilo ila umekazania hip hop🤣🤣🤣khaaa unazani kwenda marekani utapanda ungo tulia hapo.
Ngoja tutakukamata tu unaruka usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…