Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sisi wadau tunataka urudiwe mubasharaHahahahaha na mm ndio nilianzisha huo mjadala, search Faiza Foxy vs Nyani Ngabu uone madini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wadau tunataka urudiwe mubasharaHahahahaha na mm ndio nilianzisha huo mjadala, search Faiza Foxy vs Nyani Ngabu uone madini
Nahisi waliufuta huo uzi.Search Faiza Foxy vs Nyani Ngabu
Anywhen anywhere!Sisi wadau tunataka urudiwe mubashara
Na mbolea😂😂😂Huyo jamaa hapo amezungumzia hip hop tu?amezungumzia vitu ving...ila wewe umeona hip hop tu[emoji1787]daah aisee sijui hiz bhang za miaka hii huwa mnachanganya na nini?
Bado upo mkuuNahisi waliufuta huo uzi.
HahahahahaSisi wadau tunataka urudiwe mubashara
Kwa Makonda ni mbali sana. Wewe anza hapa JF na Lucas mwashambwa au Magonjwa Mtambuka. Ukiwaweza hao utafanya debate na USSRPaul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global geopolitics, Hamas-Israel war, inflation, recession, weight loss, bbl, 50 years of hip hop, elements of hip hop, Magufuli, Gwajima, n.k.
Mimi niko tayari kufanya mdahalo popote pale, muda wowote ule, kuhusu chochote kile.
I know for a fact I’ll wipe the floor with him.
So what’s up Bashite? Come debate me.
I know you are an empty suit. But since you seem to be so gung-ho about debates, let’s have one. Just me and you, Lincoln - Douglas type of debate.
Bring it Bashite. Just bring it.
When you lose
When you lose control, you lose balance. When you lose balance, you lose reason. When you lose reason, you lose logic. And when you lose logic, you basically lose your moral compass. Enter Paul Makonda or whatever his name is. He has lost all the above. An argument can be made he never had...www.jamiiforums.com
🤣Ni pale watu wanakuja kwenye mdahalo halafu wanagundua kumbe Nyani Ngabu ndiye Paul Makonda siku zote hizi 🤣🤣🤣
We will have to take your word for it.🤣
Lakini mimi sina BBL kama Makonda.
Wewe sema una chuki tu, kataja vitu kibao ikiwemo na hilo ila umekazania hip hop🤣🤣🤣khaaa unazani kwenda marekani utapanda ungo tulia hapo.Mi simo mkuu maana hakawii kukwambia wewe ni hater. 🤣🤣🤣Ndio maana LIKUD alisema wamarekani weusi ni weupe mno kichwani na ukikaa nao kwa muda mrefu unakuwa mweupe kama wao. Great thinker kabisa Karne hii anazungumza kuhusu hip hop 🤣🤣🤣 halafu eti ndo anataka kudebate na Makonda🤣🤣🤣🤣
Nakumbuka Nyani Ngabu katika mdahalo wako na bibie FaizaFoxy uliibuka kidedea ..Debate moja kali sana ilikua ...Ngoja tuone na hii kama mpinzani atajitokezaink
Nimecheka kifala[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka tu madereva alie tena [emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂
Mi naomba mwenye ile picha yake anaupokea upako kanisani muiweke hapa😂
Weee ilikuwa lini....irudiwe mimi sikuonaNakumbuka Nyani Ngabu katika mdahalo wako na bibie FaizaFoxy uliibuka kidedea ..Debate moja kali sana ilikua ...Ngoja tuone na hii kama mpinzani atajitokeza
Mimi sikumbuki kufanya mdahalo wowote na huyo mbarikiwa.Nakumbuka Nyani Ngabu katika mdahalo wako na bibie FaizaFoxy uliibuka kidedea ..Debate moja kali sana ilikua ...Ngoja tuone na hii kama mpinzani atajitokeza