Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Huyo jamaa hapo amezungumzia hip hop tu?amezungumzia vitu ving...ila wewe umeona hip hop tu[emoji1787]daah aisee sijui hiz bhang za miaka hii huwa mnachanganya na nini?
Na mbolea😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: 511
Huna hadhi y kufanya mdahalo na Makonda, upo poor sana!! Makonda hadhi yake ni ya kuongea na akina Kinana, Nape, Piga box tu chief, usitafute umaarufu, huwezi hata kuosha viatu vya Makonda
 
Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.

Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.

Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.

Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global geopolitics, Hamas-Israel war, inflation, recession, weight loss, bbl, 50 years of hip hop, elements of hip hop, Magufuli, Gwajima, n.k.

Mimi niko tayari kufanya mdahalo popote pale, muda wowote ule, kuhusu chochote kile.

I know for a fact I’ll wipe the floor with him.

So what’s up Bashite? Come debate me.

I know you are an empty suit. But since you seem to be so gung-ho about debates, let’s have one. Just me and you, Lincoln - Douglas type of debate.

Bring it Bashite. Just bring it.

Kwa Makonda ni mbali sana. Wewe anza hapa JF na Lucas mwashambwa au Magonjwa Mtambuka. Ukiwaweza hao utafanya debate na USSR
 
Mi simo mkuu maana hakawii kukwambia wewe ni hater. 🤣🤣🤣Ndio maana LIKUD alisema wamarekani weusi ni weupe mno kichwani na ukikaa nao kwa muda mrefu unakuwa mweupe kama wao. Great thinker kabisa Karne hii anazungumza kuhusu hip hop 🤣🤣🤣 halafu eti ndo anataka kudebate na Makonda🤣🤣🤣🤣
Wewe sema una chuki tu, kataja vitu kibao ikiwemo na hilo ila umekazania hip hop🤣🤣🤣khaaa unazani kwenda marekani utapanda ungo tulia hapo.
Ngoja tutakukamata tu unaruka usiku
 
Back
Top Bottom