Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Mtoa mada hana lolote analojua zaidi ya kushikishwa ukuta chooni Shaaban Robert Sec. Other than his pompous use of the English language , he is one cowardly old geezer constantly churning silly, comical threads for pure popularity seeking purposes. Aanze kwa kujitambulisha jina lake halisi na aweke picha na wasifu wake kwanza.
 
🀣 🀣 🀣 πŸ‘
 
Mkuu why speak for Makonda, or are you Makonda????
 
Sasa funguka hapa.

Wewe jina lako nani?

Ukishindwa hilo ni disqualification.
Mkuu you are right ila naona ili kutenda haki kwanza Makonda confirm kushiriki huu mdahalo kwanza halafu, and obviously Nyani Ngabu atajulikana!
 
Mkuu you are right ila naona ili kutenda haki kwanza Makonda confirm kushiriki huu mdahalo kwanza halafu, and obviously Nyani Ngabu atajulikana!
Sasa Makonda ata confirm kushiriki mdahalo na mtu asiyejulikana?

Huoni mpambano wa ndondi unaanza Makonda kafungwa mikono nyuma tayari?
 
Mkuu nakubaliana nawe ila kwanza Makonda akubali kufanya mdahalo huo na Nyani Ngabu! Automatically Nyani Ngabu atajulikana!
 
Sasa Makonda ata confirm kushiriki mdahalo na mtu asiyejulikana?

Huoni mpambano wa ndondi unaanza Makonda kafungwa mikono nyuma tayari?
Mkuu hicho ndio kipimo cha hodari wake, aoneshe utayari wa kudebate na mtu yeyote! Pili Nyani Ngabu ndiye aliyetangaza, maana yake he is ready kureveal his Identity! Makonda a confirm tu kushiriki!
 
Mkuu hicho ndio kipimo cha hodari wake, aoneshe utayari wa kudebate na mtu yeyote! Pili Nyani Ngabu ndiye aliyetangaza, maana yake he is ready to kureveal his Identity! Makonda a confirm tu kushiriki!
Hapana.

Mimi nataka a fair match. Mpambano uwe na uwazi na usawa kwa pande zote.

Makonda tunamjua, Mpaka Nyani Ngabu anamsema matako yake.

Nyani Ngabu ni nani?

Hatujui.

This is not a fair fight.
 
Kaongelea mambo mengi bana acha kukomalia hip hop
 
Hapana.

Mimi nataka a fair match. Mpambano uwe na uwazi na usawa kwa pande zote.

Makonda tunamjua, Mpaka Nyani Ngabu anamsema matako yake.

Nyani Ngabu ni nani?

Hatujui.

This is not a fair fight.
Sawa Mkuu, ila Nyani Ngabu hajaweka masharti yoyote ikiwemo hilo la identity. Fanya mpango confirmation ipatikane. We all need fareness Mkuu!
 
Hapana.

Mimi nataka a fair match. Mpambano uwe na uwazi na usawa kwa pande zote.

Makonda tunamjua, Mpaka Nyani Ngabu anamsema matako yake.

Nyani Ngabu ni nani?

Hatujui.

This is not a fair fight.
Nyani Ngabu ni Nyani Ngabu.

Na ndo maana pembeni ya jina langu kuna hiyo blue check mark.

That blue check mark means I’m verified.

In order to be verified, you need to satisfy some requirements.

I satisfied those requirements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…