Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Heri ya mwaka mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya mwaka mpya
Nyani Ngabu anataka debate na weweMimi sikumbuki kufanya mdahalo wowote na huyo mbarikiwa.
Huyo na mwenzake anaitwa Kiranga hawana hamu na mimi.
Sihitaji mazoezi yoyote yale ku debate na huyo ajuza pamoja na Bashite BBL.Nyani Ngabu anataka debate na wewe
Kabla hajafika kwa Makonda,hebu aanze na wewe afanye mazoezi.
🤣 🤣 🤣 👍Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global geopolitics, Hamas-Israel war, inflation, recession, weight loss, bbl, 50 years of hip hop, elements of hip hop, Magufuli, Gwajima, n.k.
Mimi niko tayari kufanya mdahalo popote pale, muda wowote ule, kuhusu chochote kile.
I know for a fact I’ll wipe the floor with him.
So what’s up Bashite? Come debate me.
I know you are an empty suit. But since you seem to be so gung-ho about debates, let’s have one. Just me and you, Lincoln - Douglas type of debate.
Bring it Bashite. Just bring it.
When you lose
When you lose control, you lose balance. When you lose balance, you lose reason. When you lose reason, you lose logic. And when you lose logic, you basically lose your moral compass. Enter Paul Makonda or whatever his name is. He has lost all the above. An argument can be made he never had...www.jamiiforums.com
Mkuu why speak for Makonda, or are you Makonda????Mtoa mada hama lolote amalojuq zaidi ya kushikishwa ukuta chooni Shaaban Robert Sec. Other than his pompous use of the English language , He is one cowardly old geezer constantly churning silly, comical threads for pure popularity seeking purposes. Aanze kwa kujitambulisha jina lake halisi na aweke picha na wasifu wake kwanza.
Weka hapa link ya hiyo debate tujikumbusheNakumbuka Nyani Ngabu katika mdahalo wako na bibie FaizaFoxy uliibuka kidedea ..Debate moja kali sana ilikua ...Ngoja tuone na hii kama mpinzani atajitokeza
Mkuu you are right ila naona ili kutenda haki kwanza Makonda confirm kushiriki huu mdahalo kwanza halafu, and obviously Nyani Ngabu atajulikana!Sasa funguka hapa.
Wewe jina lako nani?
Ukishindwa hilo ni disqualification.
Sasa Makonda ata confirm kushiriki mdahalo na mtu asiyejulikana?Mkuu you are right ila naona ili kutenda haki kwanza Makonda confirm kushiriki huu mdahalo kwanza halafu, and obviously Nyani Ngabu atajulikana!
Mkuu nakubaliana nawe ila kwanza Makonda akubali kufanya mdahalo huo na Nyani Ngabu! Automatically Nyani Ngabu atajulikana!Mimi si agent, ila naona kama mtu asiyejulikana hata jina lake kwa uhakika kusema anataka mdahalo na mtu anayejulikana kuna mizani fulani ya kuweka mambo sawa inakuwa haijatimia.
Inabidi wote wawili wajulikane ili tuende kwenye mdahalo na level playing field.
Mkuu hicho ndio kipimo cha hodari wake, aoneshe utayari wa kudebate na mtu yeyote! Pili Nyani Ngabu ndiye aliyetangaza, maana yake he is ready kureveal his Identity! Makonda a confirm tu kushiriki!Sasa Makonda ata confirm kushiriki mdahalo na mtu asiyejulikana?
Huoni mpambano wa ndondi unaanza Makonda kafungwa mikono nyuma tayari?
Hapana.Mkuu hicho ndio kipimo cha hodari wake, aoneshe utayari wa kudebate na mtu yeyote! Pili Nyani Ngabu ndiye aliyetangaza, maana yake he is ready to kureveal his Identity! Makonda a confirm tu kushiriki!
🤣🤣🤣Mmeshakubaliana lugha ya kudibetia? Kwa yai la ngabu makonda ule mdomo utazidi kupinda.
Kaongelea mambo mengi bana acha kukomalia hip hopMakonda ana dili na masuala nyeti ya nchi wewe unakuja na utoto utoto wa " hip hop"
Mwenzako anafikiria kuchukua nchi wewe bado unawaza kuhusu hip hop?Halafu ndo unataka kudebate nae?.🤣🤣🤣🤣 utoto raha kweli
Makonda atakugaragaza vibaya mno mkuu..
Mwaka 2024 mtu anazungumza kuhusu hip hop?
Your mindset has stuck in the 90s thats why U think 2024 is 1994 or 1996.
Mkuu we are in 2024 not 1994. And I repeat! t
This is 2024 and not 1994.
Makonda humuwezi mkuu. Kua kwanza kifikra ndio ujaribu kutafuta debate na Makonda.
Sawa Mkuu, ila Nyani Ngabu hajaweka masharti yoyote ikiwemo hilo la identity. Fanya mpango confirmation ipatikane. We all need fareness Mkuu!Hapana.
Mimi nataka a fair match. Mpambano uwe na uwazi na usawa kwa pande zote.
Makonda tunamjua, Mpaka Nyani Ngabu anamsema matako yake.
Nyani Ngabu ni nani?
Hatujui.
This is not a fair fight.
👏👍🙏Fair enough.
Naitwa Nzagamba Migato na Bashite akishakubali challenge yangu nitawasilisha vitambulisho vyangu kwa moderator wa mdahalo.
Nyani Ngabu ni Nyani Ngabu.Hapana.
Mimi nataka a fair match. Mpambano uwe na uwazi na usawa kwa pande zote.
Makonda tunamjua, Mpaka Nyani Ngabu anamsema matako yake.
Nyani Ngabu ni nani?
Hatujui.
This is not a fair fight.