Aliweza kufafanua alipaswa kufanikiwa lini kibiashara? Unajuaje kwamba umewahi au kuchelewa sio ulipo ndo unapaswa kuwepo kwa wakati husika!Moja ya speech ya Steve Jobs ni kuwa anajuta kusoma college kwani imempotezea muda so it means haijamsaidia
Hii ingekua adapted na vyuo vyetu ingekua kila first year wakiingia wanapewa assignment ya kuandaa Project After Uni (Budget iwe 5M). Ambayo inakua submitted semester ya 4 ili kuruhusu mchujo kufanyika na washindi watatu wanapatiwa hizo funds pindi wakimaliza pamoja na any assistance necessary kwa ukuaji wa hizo projects. I am sure zinaweza kua na multiplier effect na kutatua issue ya ajira.Elimu ni msingi wa mambo mengi muhimu, japo kuna watakaosema huhitaji elimu kuwa mfanya biashara lakini mifano hai niliyonayo, wafanya biashara wakubwa duniani kama Bill Gate na Microsoft, Marck Zuckerbergs na Facebook walipata mawazo ya biashara wakiwa ni wanafunzi wa elimu ya juu. Elimu yetu ni kinadharia sana kuliko vitendo.
Kijana aliyeanzisha New Convert Garden Soup, alikua ni mwanafunzi wa Biashara katika chuo kikuu cha Oxford. Hii ilikua project ya shule aliyopewa akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu.
Tuangalie kwanza ufundishaji wa mitaala yetu ni wapi tunakosea.
Good wish to all
Moja ya definition ya maisha ni mapambano na moja ya definition ya mafanikio ni ushindi,
Nilikuwa natafakari kitu nikasema ngoja nishare na home of great thinker. Dunia ya sasa watu wengi sana tunahimizwa kujiajiri hasa kipindi hiki cha tatizo la kidunia la ajira.
Hoja yangu, wapo watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi na wanalipwa mshahara mzuri tu may be 3m ambao kwa tz unaweza ukaishi vizuri sana wanahimizwa wajiajiri ambapo kwenye upande wa kujiajiri ni biashara chache sana zinaweza kukupa pato hilo kwa mwezi kama faida na tena sio uhakika. Na kwa nn mtu akiamua kuajiriwa na akatumia sehemu ya kipato chake kujiajiri wengi wao huwa wanapitwa mafanikio na watu waliocha ajira na wakajiajiri completely. Kuna siri gani katika ulimwengu wa kujiajiri ambao unamtaka mhusika awe direct involve kwenye hicho alichojiajiri na mafanikio yake.
Au kujiajiri ni overarated?
Au kuajiriwa ni underated? or it depend with month salary?
Kuna siri gani iliyojificha nyuma ya kujiajiri ambayo ni msingi wa mafanikio. Kuna mtu aliacha kazi yenye mshahara wa 6m plus bonus akaenda kujiajiri.
Je mishahara ya kwa mwezi na faida za kwenye biashara zote zikiwa sawa nini kitatokea Nani atakuwa amewin na nani atakuwa amelose.
Mlioacha kazi na mkajiajiri tupeni hizo siri na sisi tufanikiwe.
Help me guyz
Hii naikubali ni hoja yenye nguvu.Jaribu kucompare watoto ambao wana wazazi waajiriwa na watoto ambao wazazi wao wamejiajiajiri.
Compare watoto hao pale unapofika wakati wa kujitegemea.
Nimewahi kuajiriwa mkuuUko vizuri mkuu,vp ushawahi kuajiriwa?
Lete uzoefu mkuu namna ulivo acha kazi,maana uoga ni mwingi sana..hasa pressure za ndugu na wazaziNimewahi kuajiriwa mkuu
Nimeajiriwa baada ya kumaliza chuo na nikafanya kazi sehemu Kama tatu. Ila kujiajiri ni Kitu nilikuwa nacho kutoka moyoni. Kujiajiri sio rahisi. Kama umezoea kukingia mshahara mwisho wa mwezi na kupata vi-posho basi.Lete uzoefu mkuu namna ulivo acha kazi,maana uoga ni mwingi sana..hasa pressure za ndugu na wazazi
Tatizo Ni kudhani wanaojiajiri ni watu ambao hawajasoma na wanaoajiriwa Ni watu waliosoma.Soma mwaya, hao wanaomiliki Microsoft wameajiri wasomi,mbona hawakuajiri wasiosoma??, if you see opportunity,seize it haijalishi umesoma au hujasoma, ...sema elimu yetu haituchokozi kuangalia opportunities which are in our reach..i mean our environment-specific opportunities...
Swali lako ni jepesi sanaAliweza kufafanua alipaswa kufanikiwa lini kibiashara? Unajuaje kwamba umewahi au kuchelewa sio ulipo ndo unapaswa kuwepo kwa wakati husika!
Tena ukikuta ndugu na wazazi ni dependant kwako basi watakukatalia katakata.. it seem watu wengi hawaamini kabisa katika kujiajiri sijui hata ni kwa nnLete uzoefu mkuu namna ulivo acha kazi,maana uoga ni mwingi sana..hasa pressure za ndugu na wazazi
Ivi unapokuwa unasema elimu yetu haitufundishi ku seize opportunities unakuwa una compare na elimu ipi??? maana sisi mfumo wetu wa elimu tumeucopy kutoka kwenye developed country mbona wao wana move forwadSoma mwaya, hao wanaomiliki Microsoft wameajiri wasomi,mbona hawakuajiri wasiosoma??, if you see opportunity,seize it haijalishi umesoma au hujasoma, ...sema elimu yetu haituchokozi kuangalia opportunities which are in our reach..i mean our environment-specific opportunities...
Nadhani tofauti inakuja kwenye kuweka kwa vitendo tunayofundishwa kama theoryIvi unapokuwa unasema elimu yetu haitufundishi ku seize opportunities unakuwa una compare na elimu ipi??? maana sisi mfumo wetu wa elimu tumeucopy kutoka kwenye developed country mbona wao wana move forwad
may be sijakuelewa!!!!
Pressure ya wazazi ndo inaua ndoto za vijana wengi asikwambie mtu , nilipomwambia mama nataka nitimke nikalianzishe... alipinga kwel akawa anahaha kunitaftia kaz , akipata mshahara ni 300k nikamwambia mama mshahara huo ni Sawa na almost 3mil per year , wakat juzi kat nimefanya project ya kilimo ndani ya miez 4 nikascore 4 million , aisee ilibidi nitimkie DSM ....Lete uzoefu mkuu namna ulivo acha kazi,maana uoga ni mwingi sana..hasa pressure za ndugu na wazazi
Ivi unapokuwa unasema elimu yetu haitufundishi ku seize opportunities unakuwa una compare na elimu ipi??? maana sisi mfumo wetu wa elimu tumeucopy kutoka kwenye developed country mbona wao wana move forwad
may be sijakuelewa!!!!
Mpaka kichwa kimeuma yaaaniSi kweli mfumo wetu wa elimu umekua copied kutoka developed country, kwa mfano in developed country mtoto wa primary yuko competent na kutumia computer wakati kwetu mtu yuko university hayuko confident kutumia computer, sasa hapo mmekopi nini na lini??
Second, Elimu yetu iko kwenye kukariri sana na sio kuchagiza watoto to be independent learners, kwa mfano leo katoe essay ya topic yoyote kwa wanafunzi wa secondary,utaona karibu 90% wameandika essay maneno yanafanana, proof tosha wame kremu..hali ni tofauti kwa wanafunzi in developed countries, wenyewe wanatoa topic na kuwaacha vijana walete mawazo yao mapya....
Lastly syllabus inabadilika in developed countries,kama mlikopi basi mlikopi syllabus ya mwaka 47, nachojua mimi wanaangalia soko la ajira linataka nini,ndipo wanatunga syllabus, sasa hii haiwezekani material wanayosoma yawe the same miaka na miaka, halafu wanaangalia changamoto zinazoikumba jamii na wana incorporate kwenye syllabus kupata solutions kutoka kwa wanafunzi, sasa hii ya mwisho ya kuangalia kwenye mazingira yetu tunahitaji nini and how to provide ndicho hasa kinachokosekana kwenye elimu yetu, elimu yetu ikiwa na utaratibu wa kuchunguza mazingira yetu changamoto na fursa,kutafuta solution to everyday problem, ndivyo itakavyowajenga vijana kuwa independent.. watatoka na mentality ya ku explore mazingira yetu hivyo ku seize opportunities...
Mwisho kabisa its wrong kukopi mfumo wa elimu sababu kila nchi ina changamoto zake,mimi saa nyingine huwa nawaza wale ma engineer wanaojenga madaraja ikija mvua yanavunjika ni kwa sababu wamekaririshwa elimu ya nje/general, (sorry if i'm wrong) but ukifundishwa kwa mazingira yetu unajua kabisa kuna vipindi vya mvua hata mafuriko utajenga daraja huku ukiweka maanani hizi majira, so utajenga daraja ambalo likija mvua halivunjiki...hii ndio elimu ambayo inatakiwa iwe specific na mazingira yetu, na ukimfundisha mtu kuwa independent learner hataogopa ku seize opportunities zilizopo within her/his reach...ni hayo mkuu
Mpaka kichwa kimeuma yaaani