Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Jaribu kucompare watoto ambao wana wazazi waajiriwa na watoto ambao wazazi wao wamejiajiajiri.
Compare watoto hao pale unapofika wakati wa kujitegemea.
 
Moja ya speech ya Steve Jobs ni kuwa anajuta kusoma college kwani imempotezea muda so it means haijamsaidia
Aliweza kufafanua alipaswa kufanikiwa lini kibiashara? Unajuaje kwamba umewahi au kuchelewa sio ulipo ndo unapaswa kuwepo kwa wakati husika!
 
Elimu ni msingi wa mambo mengi muhimu, japo kuna watakaosema huhitaji elimu kuwa mfanya biashara lakini mifano hai niliyonayo, wafanya biashara wakubwa duniani kama Bill Gate na Microsoft, Marck Zuckerbergs na Facebook walipata mawazo ya biashara wakiwa ni wanafunzi wa elimu ya juu. Elimu yetu ni kinadharia sana kuliko vitendo.

Kijana aliyeanzisha New Convert Garden Soup, alikua ni mwanafunzi wa Biashara katika chuo kikuu cha Oxford. Hii ilikua project ya shule aliyopewa akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu.
Tuangalie kwanza ufundishaji wa mitaala yetu ni wapi tunakosea.
Hii ingekua adapted na vyuo vyetu ingekua kila first year wakiingia wanapewa assignment ya kuandaa Project After Uni (Budget iwe 5M). Ambayo inakua submitted semester ya 4 ili kuruhusu mchujo kufanyika na washindi watatu wanapatiwa hizo funds pindi wakimaliza pamoja na any assistance necessary kwa ukuaji wa hizo projects. I am sure zinaweza kua na multiplier effect na kutatua issue ya ajira.
 
Good wish to all

Moja ya definition ya maisha ni mapambano na moja ya definition ya mafanikio ni ushindi,

Nilikuwa natafakari kitu nikasema ngoja nishare na home of great thinker. Dunia ya sasa watu wengi sana tunahimizwa kujiajiri hasa kipindi hiki cha tatizo la kidunia la ajira.

Hoja yangu, wapo watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi na wanalipwa mshahara mzuri tu may be 3m ambao kwa tz unaweza ukaishi vizuri sana wanahimizwa wajiajiri ambapo kwenye upande wa kujiajiri ni biashara chache sana zinaweza kukupa pato hilo kwa mwezi kama faida na tena sio uhakika. Na kwa nn mtu akiamua kuajiriwa na akatumia sehemu ya kipato chake kujiajiri wengi wao huwa wanapitwa mafanikio na watu waliocha ajira na wakajiajiri completely. Kuna siri gani katika ulimwengu wa kujiajiri ambao unamtaka mhusika awe direct involve kwenye hicho alichojiajiri na mafanikio yake.

Au kujiajiri ni overarated?
Au kuajiriwa ni underated? or it depend with month salary?
Kuna siri gani iliyojificha nyuma ya kujiajiri ambayo ni msingi wa mafanikio. Kuna mtu aliacha kazi yenye mshahara wa 6m plus bonus akaenda kujiajiri.
Je mishahara ya kwa mwezi na faida za kwenye biashara zote zikiwa sawa nini kitatokea Nani atakuwa amewin na nani atakuwa amelose.
Mlioacha kazi na mkajiajiri tupeni hizo siri na sisi tufanikiwe.

Help me guyz

Kujiajiri ni Best Option ila inahitaji kupambana sana.
 
Hii debate ni nzuri ila kila mtu atatetea upande aliopo
 
Soma mwaya, hao wanaomiliki Microsoft wameajiri wasomi,mbona hawakuajiri wasiosoma??, if you see opportunity,seize it haijalishi umesoma au hujasoma, ...sema elimu yetu haituchokozi kuangalia opportunities which are in our reach..i mean our environment-specific opportunities...
 
Lete uzoefu mkuu namna ulivo acha kazi,maana uoga ni mwingi sana..hasa pressure za ndugu na wazazi
Nimeajiriwa baada ya kumaliza chuo na nikafanya kazi sehemu Kama tatu. Ila kujiajiri ni Kitu nilikuwa nacho kutoka moyoni. Kujiajiri sio rahisi. Kama umezoea kukingia mshahara mwisho wa mwezi na kupata vi-posho basi.
 
Soma mwaya, hao wanaomiliki Microsoft wameajiri wasomi,mbona hawakuajiri wasiosoma??, if you see opportunity,seize it haijalishi umesoma au hujasoma, ...sema elimu yetu haituchokozi kuangalia opportunities which are in our reach..i mean our environment-specific opportunities...
Tatizo Ni kudhani wanaojiajiri ni watu ambao hawajasoma na wanaoajiriwa Ni watu waliosoma.

Haya mawazo ndio yanafanya vijana wasomi washindwe hata kuuza magenge mitaani.
 
Aliweza kufafanua alipaswa kufanikiwa lini kibiashara? Unajuaje kwamba umewahi au kuchelewa sio ulipo ndo unapaswa kuwepo kwa wakati husika!
Swali lako ni jepesi sana
There are some sort of things should be settle once and for all
kitu ambacho kitakufanya ujue umechelewa au umewahi ni TIME
Leo hii huwezi kushangilia kununua gari la 8m baada ya kustaafu na ukasema eti umefanikiwa
 
Lete uzoefu mkuu namna ulivo acha kazi,maana uoga ni mwingi sana..hasa pressure za ndugu na wazazi
Tena ukikuta ndugu na wazazi ni dependant kwako basi watakukatalia katakata.. it seem watu wengi hawaamini kabisa katika kujiajiri sijui hata ni kwa nn
 
Soma mwaya, hao wanaomiliki Microsoft wameajiri wasomi,mbona hawakuajiri wasiosoma??, if you see opportunity,seize it haijalishi umesoma au hujasoma, ...sema elimu yetu haituchokozi kuangalia opportunities which are in our reach..i mean our environment-specific opportunities...
Ivi unapokuwa unasema elimu yetu haitufundishi ku seize opportunities unakuwa una compare na elimu ipi??? maana sisi mfumo wetu wa elimu tumeucopy kutoka kwenye developed country mbona wao wana move forwad

may be sijakuelewa!!!!
 
Nadhani tofauti inakuja kwenye kuweka kwa vitendo tunayofundishwa kama theory
 
Lete uzoefu mkuu namna ulivo acha kazi,maana uoga ni mwingi sana..hasa pressure za ndugu na wazazi
Pressure ya wazazi ndo inaua ndoto za vijana wengi asikwambie mtu , nilipomwambia mama nataka nitimke nikalianzishe... alipinga kwel akawa anahaha kunitaftia kaz , akipata mshahara ni 300k nikamwambia mama mshahara huo ni Sawa na almost 3mil per year , wakat juzi kat nimefanya project ya kilimo ndani ya miez 4 nikascore 4 million , aisee ilibidi nitimkie DSM ....

Wazaz wanapenda Sana watoto wao wawe na kazi wakiulizwa kitaa waseme mwanangu kaajiriwa sehemu fulan kwao ni prestige but kibongo bongo ajira nyingi ni total disaster na ni acceptable poverty line , ... You look smart but nothing you get

Kujiajiri inahtaj ufanye maamuzi magumu , and you must think beyond the reality , yaani unaforce kibabe ndo unatoboa
 
Kujiajiri kunategemea na akili ya mtu ,,nazani hao wanaoacha ajira na kujiajiri hawanikiwi sababu wanakuwa hawajajiandaa vya kutosha kusimama wao km wao na wanakurupuka kufanya hayo maamuzi labda sababu ya muda, kwamba muda mwingi anatumia akiwa kazini,,,,,upande mwingine alietoka chuo direct akajiajil ufanikiwa coz anapata muda wa kutosha kujiandaa kiuchumi, kufanya research kujua changamoto na faida za hio ajira anayotaka kuifanya , geographic location n.k. sababu anamuda hajabanwabanwa,

Mawazo yangu ni hayo.
 
Ivi unapokuwa unasema elimu yetu haitufundishi ku seize opportunities unakuwa una compare na elimu ipi??? maana sisi mfumo wetu wa elimu tumeucopy kutoka kwenye developed country mbona wao wana move forwad

may be sijakuelewa!!!!

Si kweli mfumo wetu wa elimu umekua copied kutoka developed country, kwa mfano in developed country mtoto wa primary yuko competent na kutumia computer wakati kwetu mtu yuko university hayuko confident kutumia computer, sasa hapo mmekopi nini na lini??

Second, Elimu yetu iko kwenye kukariri sana na sio kuchagiza watoto to be independent learners, kwa mfano leo katoe essay ya topic yoyote kwa wanafunzi wa secondary,utaona karibu 90% wameandika essay maneno yanafanana, proof tosha wame kremu..hali ni tofauti kwa wanafunzi in developed countries, wenyewe wanatoa topic na kuwaacha vijana walete mawazo yao mapya....

Lastly syllabus inabadilika in developed countries,kama mlikopi basi mlikopi syllabus ya mwaka 47, nachojua mimi wanaangalia soko la ajira linataka nini,ndipo wanatunga syllabus, sasa hii haiwezekani material wanayosoma yawe the same miaka na miaka, halafu wanaangalia changamoto zinazoikumba jamii na wana incorporate kwenye syllabus kupata solutions kutoka kwa wanafunzi, sasa hii ya mwisho ya kuangalia kwenye mazingira yetu tunahitaji nini and how to provide ndicho hasa kinachokosekana kwenye elimu yetu, elimu yetu ikiwa na utaratibu wa kuchunguza mazingira yetu changamoto na fursa,kutafuta solution to everyday problem, ndivyo itakavyowajenga vijana kuwa independent.. watatoka na mentality ya ku explore mazingira yetu hivyo ku seize opportunities...

Mwisho kabisa its wrong kukopi mfumo wa elimu sababu kila nchi ina changamoto zake,mimi saa nyingine huwa nawaza wale ma engineer wanaojenga madaraja ikija mvua yanavunjika ni kwa sababu wamekaririshwa elimu ya nje/general, (sorry if i'm wrong) but ukifundishwa kwa mazingira yetu unajua kabisa kuna vipindi vya mvua hata mafuriko utajenga daraja huku ukiweka maanani hizi majira, so utajenga daraja ambalo likija mvua halivunjiki...hii ndio elimu ambayo inatakiwa iwe specific na mazingira yetu, na ukimfundisha mtu kuwa independent learner hataogopa ku seize opportunities zilizopo within her/his reach...ni hayo mkuu
 
Mpaka kichwa kimeuma yaaani
 
Back
Top Bottom