Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Hahahaha,,na mm nipo hapa mkuu!Wasalimu Nyalikungu P/s mkuu. waambie sisi Vijana wa Enzi za mwalimu mkuu Anna Malulu tupo mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,,na mm nipo hapa mkuu!Wasalimu Nyalikungu P/s mkuu. waambie sisi Vijana wa Enzi za mwalimu mkuu Anna Malulu tupo mjini.
Sina sababu yoyote ya kujificha hata kama nikiwa mwalimu maana huna unachoweza kunidhuru kwa kejeli na majigambo yako huku ukishindwa kusimamia mada iliyopo mezani ya malalamiko dhidi ya waliotajwa. Badala yake, unajikita kuonyesha dharau kwa waalimu, unajiinua kujionyesha kwamba hata mkopo wa 20M/= au mafao ya 80M/= kwako ni hopelessness!!Angalia ulivyo hopeless!! Haha yaani unaiwaza mil 80 baada ya kustaafu? Unawaza mkopo wa mil 20 ukatwe 7 years?
Kwa mentality hii wewe ni mwalimu tu usijifiche.
Sina sababu yoyote ya kujificha hata kama nikiwa mwalimu maana huna unachoweza kunidhuru kwa kejeli na majigambo yako huku ukishindwa kusimamia mada iliyopo mezani ya malalamiko dhidi ya waliotajwa; badala yake unajikita kuonyesha dharau kwa waalimu na ukijiinua kujionyesha kwamba mkopo na mafao ya 80M/= kwako ni hopelessness!!
Wewe kama uko nchi hii na unafanya kazi gani halali inayokupa riziki yako ya kila siku hadi ufikie hatua ya kumdharau mtumishi wa umma na kumwita hopeless?
Mtumishi wa umma ana security ya maisha take na familia yake na anaaminika hata na taasisi za kifedha maana yuko guaranteed.
Ni mtu mbumbumbu tu, mpumbavu au mjinga ndiye anaweza kumdharau mtumishi wa umma maana huyo huwa hajitambui. Anaweza akawa hana future wala hana msingi wowote katika maisha yake na hajui mustakabali wake na huenda maisha yamemgomea na anaishi kimkandamkanda.
Mtu wa aina hiyo hawezi kutoa hoja zenye kujenga au kutanzua tatizo zaidi ya kutukana, kubeza na kudharau kama wewe ulivyo. Wewe ndiwe hopeless, huna tumaini lolote, maisha yako yananing'inia (hanging), hayajatulia (unsettled) na umebebeshwa mizigo bila hiari yako kama ID yako ilivyo "lusungo".
Huna uwezo wa kusoma na kuelewa nilichoandika, ndiyo maana unauliza hilo swali. Ungekuwa umeisoma mada na kuelewa usingeuliza swali hilo, labda ungeuliza jingine.Issue za hao akina Johari zinakuhusu nini? We utanifundisha nini mimi?
Kwa hiyo kwa sababu wewe unaingiza 80M/= kwa mwaka unataka kila mtu aingize hizo kama wewe?Haha hapo walimu ndo mnaniachaga hoi, kwahiyo hako kamshahara mbuzi mwenyewe unajiona ndo una bima ya maisha!
Teh teh ukute hapo unapokea laki nne unajiona umewin wakati wenzio hyo tunaimaliza club kwa night moja tuu....
Yaani uumie na chaki ukiisubiri 80M ukistaafu ilhali wenzako wanaingiza kwa mwaka!!
Poor you!
Hagwila uko sawa; huyu anaeyasema hayo sasa alikuwa wapi kuyasema kabla? Huu ni mkakati wa walalamikiwa na wapambe wao kufifisha hoja yako; pambana, dawa imewaingia.Inaelekea wewe kangodi una mengi unayoyajua kuhusu hiyo ofisi ya DEO; good. Unasema DEO Glory amesimamia taaluma mpaka Magu imeshika nafasi ya tatu kimkoa kwenye PSLE 2019. Glory alikuja lini Magu mpaka awe na impact ya kufanikisha matokeo ya PSLE? Glory hana muda mrefu tangu ashike ofisi hiyo akitokea Taaluma Msingi Ilemela; amekuja Magu amekuta ofisi ina-run, ikiendeshwa na maofisa wasomi wabobezi, chikaka Majura na chikaka Nyagabona, achana na yeye Glory mwenye ka-dirii kamoja kama mwalimu wa kawaida sekondari.
Idadi ya ziara za Huyo Glory kwenye mashule huwezi kuzilinganisha na idadi ya ziara za Majura. Mimi niko Kisesa, nina ushuhuda wa shule yetu hapa na maeneo mengine kuhusu ukaguzi wa mara kwa mara uliokuwa unafanywa na huyo SLO; na kwa muda mfupi waalimu wengi walikwishamfahamu Majura kwa ufuatiliaji wake, na alikuwa na impact kwa waalimu.
Ni hodari pia wa utatuzi na usuluhishi wa migogoro baina ya waalimu wakuu na waalimu, uongozi wa shule na vijiji, hiyo ni moja ya sifa za kiongozi bora.
Alikuwa anashirikisha ofisi nzima kwenye ziara hizo tena kwa kuwalipa posho kwenye kaguzi hizo kutoka kwenye 10% ya fedha za P4R ambazo SLOs ndio wanazisimamia; alikuwa anawalipa posho hadi ma-secretary; niambie lini ulimwona JJ akifanya ziara ya ukaguzi mashuleni zaidi ya kukaa ofisini na kupiga ile 10% ya P4R ambayo inatakiwa kutumika ofisini?
Haya ninayoyasema hata DED anayajua hata huyo Glory na Johari wako wanayajua.
Wewe unaongea leo kwamba Majura alikuwa analala na waalimu na amevuruga ndoa za watu; OK, WHERE WERE YOU BEFORE TO RAISE THAT ISSUE? Leo DEO wako ametuhumiwa, badala ya ku-counter malalamiko yaliyotolewa dhidi yake unaamua kutoa tuhuma dhidi ya Majura!! Unataka ku-nuturalize hoja dhidi ya Glory, Johari na Prisca kwa kumchafua Majura? Shindwa na ulegee!! Kumbuka, TWO WRONGS DOES NOT MAKE IT RIGHT.
We mjamaa una fuba sana eeh? Au ndiyo defensive mechanism ya Glory & Co.?Haha hapo walimu ndo mnaniachaga hoi, kwahiyo hako kamshahara mbuzi mwenyewe unajiona ndo una bima ya maisha!
Teh teh ukute hapo unapokea laki nne unajiona umewin wakati wenzio hyo tunaimaliza club kwa night moja tuu....
Yaani uumie na chaki ukiisubiri 80M ukistaafu ilhali wenzako wanaingiza kwa mwaka!!
Poor you!
Msukuma kachemka ana ishu zake kibao sanaWe
Weka mambo hadharani; hata kama ni afisa usalama, hajatumwa kuja kunyanyasa watu. Tena mimi naamini kama kweli huyo DEO wa Geita (V) ni afisa usalama, angekuwa mtendaji bora sana maana angekuwa ameiwa. Mfikishieni taarifa zake Mhe. Msukuma adili nae.
Mbona 2014 yuko serikalini hafu anaandika????Wewe Ligaba ni Premium Member kwenye jukwaa hili adhimu la JF; haitarajiwi uandike hoja zisizo na mashiko kama huyo anayetaka picha ya afisa aliyehamia Misungwi eti amzuie asilale na wake za watu!!
Unasema mimi ni mwenye sifa lakini sijapewa nafasi; mantiki ya kauli yako hiyo ni kwamba mimi naandika haya kwa sababu nawaonea gere au wivu Glory mtui, Johari Mwasha na Prisca.
Umekosea, mimi siyo mwalimu wala si mtumishi wa umma. Lakini kutokuwa mtumishi wa umma hakumaanishi kuwa sina uwezo wa kutambua mambo mbalimbali yanayonizunguka kiasi cha kushindwa kuyatathmini na kuyadadavua.
Nina uwezo huo kwa sababu ninayaona, nayasikia na mengine yananiathiri nikiwa raia wa nchi hii ambaye nastahili kuhudumiwa na watumishi wa umma kama madaktari, manesi, askari, maafisa ardhi, mahakimu, waalimu, na wengine wengi. Hawa ni watu ambao wapo miongoni mwetu, tunaishi nao, tunazungumza nao na tunashirikiana nao; kwa nini nishindwe kujua yanayoendelea kwenye ofisi hizo za umma wakati mimi ni mteja kwazo?
Siyo lazima matatizo yanayojiri katika ofisi za umma ziandikwe na mtumishi wa umma; zinaweza kuandikwa na mtu yeyote huru kama mwandishi wa habari, mwanaharakati, au raia yeyote wa kawaida mwenye uwezo wa kupata taarifa sahihi juu ya jambo analotaka kuliwasilisha kwa wahusika, ilimradi ana maslahi nalo; kama mimi nilivyofanya.
Nimemwandikia DED Magu ili achukue hatua ya kurekebisha udhaifu unaoendelea kwenye ofisi ya DEO Magu maana mimi ni mwana - Magu, mzazi mwenye watoto wanaosoma kwenye shule za umma wilayani Magu; kwa nini ninyamazie ubovu unaoendelea kwenye ofisi ya elimu kwenye halmashauri yetu?
Unasema niache kupambana na system!! Glory, Johari na Prisca wamekuwa system ya elimu Magu? Huyo Glory Mtui aachane na ujinga anaoufanya hapo ofisini kwa sababu ya kukamatwa masikio na Johari Mwasha; atamharibia kazi na atakuwa anazimia mara kwa mara hapo ofisini kama ilivyotokea juzi na leo ametinga ofisini akiwa na cannula, wakati mwenzake anadunda na juba lake tu.
Kufua chupi za maofisa wa elimu siyo kazi yangu, ingekuwa kazi yangu ningefua tu!! Wewe ni JF Premium member; mchango wako unatarajiwa kustawisha mjadala kwa kutoa hoja na si vinginevyo.
Bado wito wangu kwa DED Magu ni uleule; aangalie ofisi ya DEO Magu.
Mbona 2014 yuko serikalini hafu anaandika????
Qummer-maye wallah,ni mwendo wa kuchongeana tu!Ni kweli; acha na mimi nizungumze machache ninayoyajua kuhusu hiyo ofisi ya DEO Magu ambayo imekumbwa na kashfa nyingi tangu enzi za Saryankanga. Huyu DEO wa sasa ni mpiga hela tu; amekutana na mchagga mwezake Johari rushwa mtindo mmoja.
Naanza na mfano mmoja ambao hata DED Lutengano ataukumbuka. Hivi karibuni tu kuna Mratibu (mama mjane) alihamishiwa kata ya Itumbili kwa uhamisho wa malipo. Mama huyo baada ya kulipwa, DEO Glory na timu yake walimtoza yule mratibu pesa kama shukrani kwao!! Mama yule alikwenda kulalamika kwa DED Lutengano; sijui hatua zilizochukuliwa na DED kama zipo.
Wewe mwenyewe DED, siku za karibuni uliitisha kikao cha Finance ambapo wakuu wa idara walikuwepo. Uliwapongeza wajumbe kwa matokeo mazuri ya mitihani ya darasa la VII; na Katibu wa TSD alichangia kwa kuitaka ofisi ya elimu kuwa na ushirikiano miongoni mwao, badala ya kupigana majungu na kuchongeana hadi kufikia kuhamishwa baadhi ya watendaji chapa kazi kama SLO aliyehamishwa alivyopigwa jungu. Baada ya kikao DEO Glory alimfuata Katibu huyo wa TSD na kuanza kumshambulia kwa maneno; mpaka sasa mahusiano ya watu hao wawili siyo mazuri; lakini pia mahusiano kati ya DEO na Mkaguzi Mkuu siyo mazuri vilevile kwa sababu ya ofisi ya DEO kupanga wasimamizi kwa mapatano na baadhi ya waalimu wakuu ili watahiniwa wa darasa la VII katika shule zao wasaidiwe. Kwa mahusiano haya hafifu kazi zitafanyikaje kwa ufanisi?
Palifanyika semina au kongamano la Juma la Elimu ya Watu Wazima kimkoa hivi karibuni kule Buchosa. Maofisa wanne wafuatao:- SLO aliyehamishwa, Afisa Elimu ya Watu Wazima, DEO Glory na Johari walilipwa posho kwa ajili ya kuhudhuria na kushiriki kongamano hilo la Juma la Elimu ya Watu Wazima. Waliokwenda Buchosa ni wawilo tu; SLO aliyehamishwa na Afisa Elimu ya Watu Wazima. DEO Glory na Johari hawakwenda Buchosa licha ya kulipwa posho, wala hawakuwa ofisini Magu siku zote za kongamano hilo. Huyo ni ubadhirifu wa mali ya umma.
Uhamisho wa SLO kwenda Misungwi pia ni ubadhirifu kwa sababu umetolewa kwa majungu. Afisa huyo amekaa Magu kwa muda wa chini ya mwaka mmoja toka alipohamia Magu akitokea Ukerewe na alilipwa. Kwa uhamisho huu amelipwa tena kumhamishia Misungwi kwa sababu tu Glory na Johari wamekwenda kulalamika kwa Afisa Elimu Mkoa Mwanza eti SLO huyo anawanyima raha!! R.E.O. Mwanza nae kwa sababu hao wawili wote ni wapenzi wake (kama hawajui wajijue sasa), akaamua kufanya alivyofanya TAMISEMI hatimae SLO amehamishwa!!
Mhe. Jaffo, Mhe. Ndalichako, Mhe. Mkuchika afande wangu, tafadhali fuatilieni mambo haya; kuna watu bado hawajamwelewa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwamba dhamira yake kwa dhati ya moyo wake amekusudia kuipeleka mbele nchi yetu. Baadhi ya watendaji wanafanya yao tu bila kuzingatia Vision, Mission wala Spirit ya Rais wetu. Nitakwenda Magu kumweleza Rais uozo huu siku akija kuzindua mradi wa maji; tutaonana wabaya.
Noma sana!Nyeusi ni nyeusi tu, ukiita nyeupe ni uongo; lakini ukiwa mnafiki unaweza kufanya hivyo ili kujifariji, lakini wenye kutambua mambo watang'amua.
Kanusha kwa hoja tuhuma zinazotolewa dhidi ya hao wanaolalamikiwa; na kama una malalamiko dhidi ya SLO aliyehamishwa yiweke bayana.
Tunajua taratibu za kiutumishi zipo lakini lazima ziwe na mahali pa kuanzia na panaweza kuwa hapa.
Tamaa ikikomaa huzaa dhambi, na dhambi ikikomaa huzaa mauti; huo ndio mtiririko. Mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba.
Sure!Kazi ya ulimu ni rubbish
Sure!
Badili kuandika kwako haueleweki kabisa 🤔Walimu wengi hasa wa msingi majungu Ni mengi Sana mikopo ndio inawachanganya kadi ziko kwa wakopeshaji ...mmebaki ..TU KUCHONGEA D.O..NA CO....HEBU TUACHE MAJUNGU HUYO CHIKAKA NA MAJURA NI RUBISH KABISA ...WASIMAMIZI WA MITIHANI DRS LA VII WALIKUWAWANACHAGULIWA NI WALIOSOMA MOUNT MERU TU DIPLOMA KISA YY NI RECHOR ....
KIONGOZI MZURI NI YULE ANAYESEMWA NA WATU ,MAZUZU KAMA NYINYI ...MNAPOKUNYWA HIVYO VIBALIMI NA EANGLE NDIO MNAJIONA MMEFIKA
MLIKUWA MNAMFURAHIA SANA MAJURA MFATENI ALIKO HAMIA SANA !!!
D.O CLORY KANYAGA KABISA HAPO HAPO USIACHIE HUO MWENDO NI MZURI NA UNATUFAA TUNAKUKUBALI KWA UTENDAJI KAZI WAKO NA BUSARA ZAKO....
HAKIKA MAMBO SASA HIVI NI SHEARI KABISA TUKAAHIDI HATUTAKUANGUSHA ......
Kongodi; umetumia muda wako mwingi kueleza kile unachokieleza kuwa ni umalaya wa Majura na umetoa details ambazo unataka jamii iziamini!UNALALAMIKA NILIKUWA WAPI KUTOA HOJA MAPEMA , WEWE ULIKUWA WAPI KUTOA HOJA ZA D.O GLORY,JOHARI...AMEHAMISHWA MAJURA NDIO UNASEMA ETI KIJA NA MSOMI ....ANAUSOMI UPI?
MBONA KUNA VIJANA WASOMI WANA MASTER LAKINI WAHATAMBI TENA NI WAALIMU WA KAWAIDA NA WENGINE NI WARATIBU
DEGREE HOLDER NDIO USOMI???
MAJURA ALIKUWA AKIZUNGUKA KWENYE MASHULE HASA YENYE WALIMU MABINT NA KUJITAMBULISHA
ALIKUWA FEDHULI ,LUGHA CHAFU ,ALIKUWA ANAJIONA YEYE NDIYO YEYE ANATUKANA WALIMU
WALIMU MARAFIKI ZAKE NI WALE WALIOKUWA WAMESHINDIKANA KWA WAKOPESHAJI KESI ZIKILETWA ANAWASAIDIA KUZIZIMA
MUULIZE !! MAJURA VP KUHUSU YULE MADAM MKE WA MTU AMBAYE WALIKUWA WANAENDA ..ILUNGU MARA KWA MARA UNADHANI TULIKUWA HATUMUONI???
MAJURA KAHAMISHWA KWA MASILAHI YA OFISI KUINUSURU OFISI ....SABABU YA UWOZO WAKE ....
ALIKUWA AKICHUKUA RUSHWA NA KUMLAZIMISHA D.O AWAAMISHE WALIMU WALIMU WALE WENYE UHITAJI WA KUHAMA VITUO D.O ALIKUWA AKIMKATALIA
KAMA NINAYOYASEMA HAYA NI YA UWONGO ASEME NI TAJE ILUNGU ALIKUWA ANAENDA GEST IPI ?NA A LIKUTA NA NANI NA ALIKUWA ANATUMIA USAFIRI WA PRAIVET. CAR NA WAKATI MWINGINE BODA BODA....!!
VIPI KUHUSU YULE MADAMU MKE WA MTU ALIYEKUWA ANAMWAMBIA WAENDE TWIGA GEST AKIBISHA NAWEKA SCREEN SHOT ZA CHAT
HUYU SIO MSOMI...NI MTONGOZA WANAWAKE ZA WATU, NA NI MCHAPAKAZI WA GEST SIO OFISINI
....WATU WA MISUNGWI KUWENI MAKINI NAYE ANATAKA KULETA MAMBO YA KIKABILA ETI CHIKAKA ,YEGO APELEKE HUKO UPUUZI WAKE
POLENI MARAFIKI ZAKE MMEKOSA MXINZI WENZENU KAHAMISHWA
Nimewafuatilia kwa siku kadhaa sasa... Naona mnajaribu kuwa chafua wasiochafuka...Badili kuandika kwako haueleweki kabisa [emoji848]
Vipi una msongo wa mawazo? Mimi nimemchafua nani?kabla ya kupost hakikisha unakula Milo zaidi ya mitatuNimewafuatilia kwa siku kadhaa sasa... Naona mnajaribu kuwa chafua wasiochafuka...
Baada ya kupitia Mjadala huu Ushauri wangu kwa DED Magu, Ndugu; Lutengano Mwalwiba...Nimewafuatilia kwa siku kadhaa sasa... Naona mnajaribu kuwa chafua wasiochafuka...
Kwa uandishi wako huo ndugu KANYEGELO una haki ya kumsifia huyo DEO Glory kwa sababu na wewe uko hoi kama yeye.Walimu wengi hasa wa msingi majungu Ni mengi Sana mikopo ndio inawachanganya kadi ziko kwa wakopeshaji ...mmebaki ..TU KUCHONGEA D.O..NA CO....HEBU TUACHE MAJUNGU HUYO CHIKAKA NA MAJURA NI RUBISH KABISA ...WASIMAMIZI WA MITIHANI DRS LA VII WALIKUWAWANACHAGULIWA NI WALIOSOMA MOUNT MERU TU DIPLOMA KISA YY NI RECHOR ....
KIONGOZI MZURI NI YULE ANAYESEMWA NA WATU ,MAZUZU KAMA NYINYI ...MNAPOKUNYWA HIVYO VIBALIMI NA EANGLE NDIO MNAJIONA MMEFIKA
MLIKUWA MNAMFURAHIA SANA MAJURA MFATENI ALIKO HAMIA SANA !!!
D.O CLORY KANYAGA KABISA HAPO HAPO USIACHIE HUO MWENDO NI MZURI NA UNATUFAA TUNAKUKUBALI KWA UTENDAJI KAZI WAKO NA BUSARA ZAKO....
HAKIKA MAMBO SASA HIVI NI SHEARI KABISA TUKAAHIDI HATUTAKUANGUSHA ......