kwamba amefariki sababu hiyo[emoji16][emoji16][emoji16].Aende anakostahili. Dhihaka kwa waTZ dhidi ya uchafuzi mkuu 28/10/2020 ni dhambi isiyovumilika. Mungu hadhihakiwi.
mkuu hakuna ugonjwa mbaya kama kuishiwa sera na hoja, ndio hali waliyonayo hao wagonjwa wa akili.Hizi mindset zenu za kufurahia vifo vya walio kinyume na ideology zenu, nanyi aisee!
Huko siasani mnafundishana upuuzi kwamba kifo sio haki au kifo ni adhabu tena yamstahili mpinzani wako wa mawazo, upuuzi kiwango Cha juu Sana kudhani kifo ni adhabu kwa usiempenda.
Kwahiyo wakifa wa chama chenu mnaojipa utakatifu kutafuta huruma kwenye maslahi yenu ya kisiasa, nao chaitwaje kifo chao?
Kifo Cha mtu mwingine sio faraja kwako kwakuwa nawe lazima ufe wakati ukifika. Pambaneni kwa hoja zenu za kisiasa na si kuhusianisha kifo na tofauti zenu za kisiasa ilhali kila mja yampasa kifo.
Roho ya mwendazake ipumzike kwa amani.
Kufa kufaana.Na Kuna wanaosubiri kuteuliwa katika nafasi hii.β
Mungu hachangamani na wanafiki wala hachaguliwi cha kufanya.Tukiongea tunawekwa ndani, tunapotea na kuuwawa. Uchaguzi haikua wa haki na hii ni sehemu ya kutoa hisia zetu.
hii haifanyi wao kufa peke yao.Ukweli utabaki kuwa ukweli ma DED walidhurumu haki wakati wa uchaguzi.
hata kushindwa kwako kuna mwisho.l, hakutadumu milele.Kumbuka tu kuwa kila kitu kina mwisho wake, hamtakua madarakani milele.
Hata kama Walidhulumu jameni sasa kwani wasingedhulumu wangeepuka mauti??Ukweli utabaki kuwa ukweli ma DED walidhurumu haki wakati wa uchaguzi.
Tatizo la kupumua linawasumbua sana waliochakachua kura mwaka 2020.View attachment 1703408
Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
Tutafute ufalme wa Mbinguni kwanza. Haya mengine mtayapata tu. Hawa wameamua kutafuta ufalme wa duniani kwa kuwaweka wabunge na madiwani wasio chaguo la wananchi . Korogwe Kuna diwani mmoja hata angegombea peke yake asingepata Kura hata tano. Cha ajabu dogo wa Chadema hakutangazwa.Kumbuka tu kuwa kila kitu kina mwisho wake, hamtakua madarakani milele.
Siku hizi bungeni hawaitwi wapinzani. Juzi kwenye kumuaga Atashasta waliitwa. WABUNGE WALIO WACHACHE BUNGENI.Wale ni wabunge wa Ndungai si wanachama wa Chadema.
Mlango ule ule ameutumia.Hivi huyu ndio ule Uchaguzi mdogo aliumaliza kwa style ya kutokea mlango wa Uani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Yuko BOT mkuu?Kati ya hao wapuuzi wachache wa kwanza ni wewe. Hv we ndo ulikuwa BOT ehee?
The guilty are afraidBut a short time to live. By james hardley chase..
Weka wazi mkuu. Huu Ni wakati wa ukweli na uwaziMleta uzi hujatuambia yule aliyewekwa kimada uberigiji anaendereaje na tatizo lake la upumuaji.
Mzee wa faru john nae hujatuambia mbn harudi kutoka huko alikoifuata chanjo ya covid.
Ukienderea tutaweka wz kila k2.
Sote njia moja najua...ila wametutenda sana hawa pusiHujafa hujaumbika ndugu yangu.