Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Sasa kwanini waliunda NATO ili kumkabili Mrusi? Wakati mrusi ana bajeti ndogo zaidi yao?Marekani wamejizatiti Sana na waki serious.
Unachanganya nchi tano kubwa, bado jamaa wako juu.
View attachment 3018477
S.korea na Japan wenye makampuni ya kutengeneza simu unaweza kunitajia aina ya ndege wanayo itengeneza ukilinganisha na Urusi?Kama ambavyo Marekani makampuni ya teknolojia yanamilikiwa na watu binafsi na bidhaa zao tunaziona sokoni, na hadi hapa umetype kwa kuzitumia.
Urusi bidhaa zake za bei ndogo ziko wapi sokoni.
Iko wapi internet ya Urusi, operating system yao (US ana Android na iOS). Wakati US ana HP na Dell mnazosema ni za watu binafsi na za bei kali, za Urusi za serikali na za bei nafuu ziko wapi. US aweke Pixel, Sony, Motorola, iPhone na wengine mezani Urusi yeye ataweka kina nani wa ubora kuzidi Marekani ila ana quality zaidi na cheap.
Ushindwe kubobea kwenye civilian technology uje uweze military tech? Camera, simu, ndege za raia hujui eti uje uwe bora kwenye fighter jets na electronics za kivita.
Hapa naina umeamua kuachana na point ya msingi aliyoiwasilisha jamaa kwasababu tu hajatenganisha jeshi na serikali..ambavyo kimsingi hajakosea.Lengo lake ni kuonesha kwa nini gharama zinakua tofauti sana mengine yako tu.Hizi zote state owned enterprises nazijua kina Chengdu, Shenyang, DongFeng na nyingine. Hata Urusi zipo zikiongozwa na ROSTEC.
Nimeuliza wanitajie kampuni za kutengeneza silaha zinazomilikiwa na jeshi hapo China au Urusi. Unanitajia kampuni zinazomilikiwa na serikali. Kwamba tofauti ya jeshi na serikali hujui?
Kwani hapa swala ni nini mzee naona unashift tu ili kuprove point ambayo haikuepoSawa sawa ni maoni yako. Hata mimi naweza sema Marekani wanaunda silaha kwa faida hivyo kampuni zao zina uwezo wa kufanya research and development zenyewe bila kutegemea state. Na zina uwezo wa kufanya mass production sababu zinapata faida.
Kwenye WW2 makampuni ya Marekani ilizalisha silaha hizi hapa ikawapa USSR waliokuwa wana state owned enterprises, mbona USSR walifeli kuzalisha silaha kwa wingi kama kigezo ni silaha kuzalishwa na serikali? View attachment 3018883
Mzee baba G8 maana yake ni nini? Nini kilitokea Hadi ikabadilika na kuwa G7?Kwahiyo Marekani inaprint hela hadi California inaendana kwa GDP na Russia?😂
Okay, South Korea inaizidi uchumi Russia kisa wanaprint sana hela?
Kwamba South Africa inaizidi Tanzania uchumi kwa kuprint sana Rand?
Hivi unajua nani alianza kwenda mweziniKama ambavyo Marekani makampuni ya teknolojia yanamilikiwa na watu binafsi na bidhaa zao tunaziona sokoni, na hadi hapa umetype kwa kuzitumia.
Urusi bidhaa zake za bei ndogo ziko wapi sokoni.
Iko wapi internet ya Urusi, operating system yao (US ana Android na iOS). Wakati US ana HP na Dell mnazosema ni za watu binafsi na za bei kali, za Urusi za serikali na za bei nafuu ziko wapi. US aweke Pixel, Sony, Motorola, iPhone na wengine mezani Urusi yeye ataweka kina nani wa ubora kuzidi Marekani ila ana quality zaidi na cheap.
Ushindwe kubobea kwenye civilian technology uje uweze military tech? Camera, simu, ndege za raia hujui eti uje uwe bora kwenye fighter jets na electronics za kivita.
Tatizo lako wewe ni kwamba unabishana na data za kweli. Ungekuwa unaijua Marekani hata kiduchu ungefumba kinywa chako.Tangu mmejifunza kuwa kuna neno Print basi mmeamua kuzigotesha akili. Hamuoni chochote zaidi ya ku print.
Hao mnaosema wana print hela hivi mmewahi kufika kwao mkaona jinsi kuanzia raia wanavyozitafuta hizo hela?
Au mnajua vigezo vya ku print hela?
Hujui ukiongeacho, data za kweli unazoziongelea ni zipi hizo? Yaani unacho comment humu ndiyo wewe kujifanya unaijua Marekani?Tatizo lako wewe ni kwamba unabishana na data za kweli. Ungekuwa unaijua Marekani hata kiduchu ungefumba kinywa chako.
NonsenseHujui ukiongeacho, data za kweli unazoziongelea ni zipi hizo? Yaani unacho comment humu ndiyo wewe kujifanya unaijua Marekani?
Wewe umayeijua Marekani mbona sijaona hata kimoja ambacho kinaskisi kuwa unaijua Marekani? Angalau nisiyeijua niijue kupitia wewe?
Sio kweli, hauna jibu ndio maana umejibu tu ki-madrassa badala ya kitaaluma.Kwa sababu wenzio hawapendi kuishi maisha ya kuiga-iga, hasa maigizo ambayo mwishowe ni kujiangamiza mwenyewe.
By printing and printing and printing again the currency, US has been shooting her own foot all along.
Imeelezwa bajeti inayobadilika na kuwa vitu halisi vya kushikika na kutumika.Siyo uchapishaji wa noti.Tofautisha na bajeti ya Mwigulu.Kwa sababu wenzio hawapendi kuishi maisha ya kuiga-iga, hasa maigizo ambayo mwishowe ni kujiangamiza mwenyewe.
By printing and printing and printing again the currency, US has been shooting her own foot all along.
Vipi tena Mmarekani? Kulikoni?Nonsense
Hizi akili za madrasa kabisa pale tandikaKwa sababu wenzio hawapendi kuishi maisha ya kuiga-iga, hasa maigizo ambayo mwishowe ni kujiangamiza mwenyewe.
By printing and printing and printing again the currency, US has been shooting her own foot all along.
Hii nchi kuna muda naona ccm waendelee kutawala make akili bado ni ndogo sanaKwahiyo Marekani inaprint hela hadi California inaendana kwa GDP na Russia?😂
Okay, South Korea inaizidi uchumi Russia kisa wanaprint sana hela?
Kwamba South Africa inaizidi Tanzania uchumi kwa kuprint sana Rand?
Huo uchumi wa kuchapisha hela utakua ulisomea chuo cha madrasaKama sio mchumi hauwezi mwelewa jamaa
United States anamiliki army bases kwa zaidi ya nchi 30 duniani. Pesa nyingi hutumika kuwapa wanajeshi maisha bora kazini, kufadhili vita na kununua vifaa vya kuvita kwa ajili ya wanajeshi wao vitani. Ni nchi ya kichoko. Kufa vitani kwa wanajeshi kuna wastani sio chini ya 60% ya wanajeshi. Popote, muda wowote majanga yanaweza kuwakuta. Wanajeshi wetu wana raha, wanakunywa hadi double kiki😂😂Marekani wamejizatiti Sana na waki serious.
Unachanganya nchi tano kubwa, bado jamaa wako juu.
View attachment 3018477
South Korea wanaunda meli kubwa kabisa za kisasa. Wana vifaa vya ujenzi. Home appliances nyingi. Vifaa vya mawasiliano. Vifaa vya matibabu hospitalini.S.korea na Japan wenye makampuni ya kutengeneza simu unaweza kunitajia aina ya ndege wanayo itengeneza ukilinganisha na Urusi?
Satellite hata North Korea na Iran wamejaribu, na hawana cameras kwenye soko la dunia. Hata India.Ww ungesema kuwa Urusi hajawekeza sana kwenye teknolojia ya kiraia ungeeleweka na sio kusema eti haiwezi kutengeneza.
Ya kwamba mtu aweze kutengeneza Satalaiti alafu ashindwe kutengeneza kamera?
Alafu Marekani akiongoza kiuchumi mnasema anaprint dola😂Urusi saa nyingine anabweteka kutokana na mabilion ya $ anayo yapata bila jasho kutoka kwenye rasilimali alizo nazo.
Bidhaa zinaonekana kwenye market share ya industry kwenye soko la dunia. Hizo bidhaa za Urusi ziko wapi mbona kama gesi na mafuta mnataja, kwamba mfano Lada inashindana na soko la Toyota, Ford, RR ama Hyundai?Alafu kingine ww kutoona bidhaa za Urusi sokoni haimanishi kuwa hazipo maana dunia ni kubwa sana na inawatu wengi sana.
Umeona sasa? Marekani yeye anatumia maguvu ili kulazimisha bidhaa zake zinunulike duniani.South Korea wanaunda meli kubwa kabisa za kisasa. Wana vifaa vya ujenzi. Home appliances nyingi. Vifaa vya mawasiliano. Vifaa vya matibabu hospitalini.
Urusi hasahasa ana maliasili ambazo hajaunda bali kazikuta. Ni kama Congo, Saudi Arabia au Qatar.
Satellite hata North Korea na Iran wamejaribu, na hawana cameras kwenye soko la dunia. Hata India.
Kumiliki market share kwenye soko la digital cameras kama Canon, Sony, Nikon, Fujifilm ni vigumu kuliko kurusha satellite angani.
Alafu Marekani akiongoza kiuchumi mnasema anaprint dola😂
Bidhaa zinaonekana kwenye market share ya industry kwenye soko la dunia. Hizo bidhaa za Urusi ziko wapi mbona kama gesi na mafuta mnataja, kwamba mfano Lada inashindana na soko la Toyota, Ford, RR ama Hyundai?
G8 haimaanishi direct kwamba ni nchi nane kubwa kwa GDP wakati huo, huwa zinakaa sana kubadilika.Mzee baba G8 maana yake ni nini? Nini kilitokea Hadi ikabadilika na kuwa G7?
Ukijibu hayo maswali justify hiyo kauli yako niliyoibold vinginevyo inatulisha matango pori.